-
Magaidi wa Daesh walipua daraja linalounganisha mji wa Mosul
Jan 08, 2017 04:10Kamanda wa operesheni za kuukomboa mkoa wa Nainawa (Nineve) kaskazini mwa Iraq, amesema kuwa, genge la kigaidi na kitakfiri la Daesh, limeripua upande wa kulia wa daraja la Mto Tigris linalouonganisha mji wa Mosul na maeneo mengine.
-
Iraq: Mosul hivi karibuni utakuwa tayari umekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi wa ISIS
Jan 06, 2017 01:18Kamanda wa operesheni za vikosi vya jeshi la Iraq amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo tayari limekomboa asilimia 70 upande wa mashariki wa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na kwamba inatazamiwa siku chache zijazo mji wote wa Mosul utakuwa umekombolewa na jeshi hilo.
-
Ushirikiano wa Iran, Iraq, Syria na Russia katika vita dhidi ya ugaidi
Jan 05, 2017 01:06Haidar al Abadi, Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Iraq, Russia, Syria na Iran katika vita dhidi ya ugaidi ni kwa maslahi ya wote.
-
UN: Ghasia na ugaidi vimeua raia karibu 7000 Iraq, 2016
Jan 04, 2017 00:26Umoja wa Mataifa umesema takriban raia elfu 7 wameuawa katika mapigano na mashambulizi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS mwaka uliomalizika wa 2016 nchini Iraq.
-
Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq
Jan 03, 2017 10:21Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Milipuko yaua kwa uchache watu 28 katikati mwa Baghdad, Iraq
Dec 31, 2016 11:23Milipuko miwili iliyotokea katikati mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad imeua watu wasiopungua 28.
-
Mashia na Masuni Iraq wajadili mustakbali baada ya kuangamizwa ISIS
Dec 30, 2016 12:18Mirengo mikubwa zaidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni katika Bunge la Iraq imeafikiana kuhusu namna ya kurejesha ustawi na amani katika nchi hiyo baada ya maangamizo tarajiwa ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Uingiliaji wa madola ya kigeni, sababu ya kurefuka ukombozi wa Mosul
Dec 26, 2016 08:38Sayyid Ammar al Hakim, Mkuu wa Muungano wa Taifa wa Mashia wa Iraq amesema, ushahidi unaonesha kuwa, kuweko maafisa wengi wa kijeshi na kijasusi wa nchi za eneo la Mashariki ya Kati huko Iraq, kunazorotesha juhudi za nchi hiyo za kupambana na magaidi.
-
Jumatatu, tarehe 26 Disemba, 2016
Dec 26, 2016 01:01Leo ni Jumatatu tarehe 26 Rabiul Awwal sawa na Tarehe 26 Disemba 2016.
-
Magaidi Mosul, Iraq wanaongozwa na maafisa wa kijeshi wa nchi jirani
Dec 25, 2016 12:14Ushahidi umebaini kuwa, maafisa wa kijeshi na kijasusi wa nchi za eneo la Mashariki ya Kati wanahusika katika kuwaongoza na kuwaelekeza magaidi katika mji wa Mosul nchini Iraq.