-
Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa
Sep 26, 2026 10:07Vyombo vya habari vya kizayuni vimekosoa hotuba ya Netanyahu katika Umoja wa Mataifa, vikiashiria kutoka nje ya ukumbi wajumbe wa nchi mbalimbali na kusisitiza kwamba kilichojiri wakati wa hotuba hiyo kimedhihirisha jinsi Israel ilivyozidi kutengwa kimataifa.
-
Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi
Sep 26, 2026 09:58Mamlaka nchini Thailand zinachunguza kote nchini humo vituo tisa vya Wayahudi, vinavyojulikana pia kama nyumba za Chabad, katika hatua inayopanua wigo wa upelelezi dhidi ya vuguvugu lenye misimamo mikali la Chabad-Lubavitch lenye makao yake makuu mjini New York, Marekani.
-
Majeshi ya Iran yaapa kuwa Marekani na Israel zitaonja ladha chungu ya vipigo zaidi
Sep 22, 2026 03:31Makao Mkuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Makao Mkuu ya Kamandi ya Khatam al-Anbiya ya Majeshi ya Iran yameapa kulinda maslahi ya taifa, haki za wananchi, na uhuru wa ardhi ya nchi hiyo, yakisema kuwa vikosi vya ulinzi vitahakikisha kuwa Marekani, Israel, na washirika wao “wanaonja ladha chungu ya vipigo zaidi.”
-
Netanyahu aungana na walowezi zaidi ya laki moja kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa
Sep 20, 2026 13:59Sambamba na Wazayuni zaidi ya 100,000 kuuvamia Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu naye pia ameungana na wazayuni hao katika kulivunjia heshima eneo hilo takatifu kwa kufika hadi kando ya ukuta wake wa Buraq na kwenye njia zake za chini kwa chini.
-
Mwanzo wa mwaka mpya wa masomo Gaza katika mahema; hali ni ngumu sana
Sep 20, 2026 04:27Takribani wanafunzi laki saba wanaoishi katika Ukanda wa Gaza huko Palestina wameanza mwaka mpya wa masomo katika mazingira magumu sana.
-
Iran yamnyonga jasusi wa utawala wa Israel aliyetoa taarifa za maeneo ya kijeshi
Sep 19, 2026 11:51Idara ya Mahakama ya Iran imetangaza kutekelezwa kwa hukumu ya kifo kwa kunyongwa Hossein Pedaran, ambaye alitiwa hatiani kwa makosa ya ujasusi na kutoa taarifa nyeti kuhusu vituo vya kijeshi vya Isfahan kwa shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni, Mossad.
-
Trump apanga kuipatia Israel 'shehena kubwa zaidi ya mabomu katika historia ya Marekani'
Sep 16, 2026 03:34Ripoti moja inasema, serikali ya Trump inaandaa mpango wa kuupatia utawala wa kizayuni wa Israel shehena ya mabomu 40,000 yenye uzito wa pauni 2,000 kila moja, ambayo thamani yake ni dola bilioni 2.8.
-
Waandishi wa habari 37 Wapalestina wanashikiliwa kwenye jela za Israel, 19 bila kufunguliwa mashtaka
Sep 15, 2026 04:06Utawala wa kizayuni wa Israel unawashikilia waandishi wa habari 37 wa Kipalestina katika magereza yake, wakiwemo 19 waliowekwa kwenye kizuizi kisicho na kikomo kwa kutumia sheria ya kutofunguliwa mashtaka au kutofikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa katika taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Wafungwa wa Kipalestina, Palestinian Prisoner Society.
-
Mkuu wa zamani wa Shin Bet: Kwa sasa tunaelekea kushuhudia mwisho wa Israel
Sep 10, 2026 02:45Mkuu wa zamani wa Shirika la Usalama wa Ndani la Israel Shin Bet amesema kuwa, vita vinavyoanzishwa na Tel Aviv havina lengo la kisiasa, na kwamba Israel inaelekea katika mwisho wa mradi wa Kizayuni.
-
Israel yaiamuru Uingereza ifunge ubalozi wake mdogo ulioko Baitul Muqaddas Mashariki
Sep 09, 2026 10:17Utawala wa kizayuni wa Israel umeutaarifu ubalozi mdogo wa Uingereza ulioko katika eneo la Baitul Muqaddas Mashariki (East Jerusalem) linalokaliwa kwa mabavu, kwamba lazima uwe umeshaufunga ubalozi huo ndani ya muda wa siku 30. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa leo na kituo cha habari cha umma cha Israel KAN.