Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wapalestina wamkumbuka Rachel Corrie, nembo ya mapambano dhidi ya Israel

    Wapalestina wamkumbuka Rachel Corrie, nembo ya mapambano dhidi ya Israel

    Mar 17, 2022 05:25

    Wapalestina wanaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya mwanaharakati na mwanamapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel, Rachel Corrie, aliyeuawa na wanajeshi wa utawala huo ghasibu, kwa kufanya matamasha ya aina mbalimbali na matukio ya michezo.

  • Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video

    Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video

    Mar 13, 2022 04:38

    Vyombo vya habari vya Iraq na duru za kijeshi nchini humo zimeripoti kuwa, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Erbil, makao makuu ya eneo la Kurdistan la Iraq imeshambuliwa kwa makombora ya balestiki.

  • Jihadul Islami: Israel ni 'mwanaharamu' wa ukoloni wa Magharibi

    Jihadul Islami: Israel ni 'mwanaharamu' wa ukoloni wa Magharibi

    Mar 12, 2022 22:51

    Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kama mwanaharamu wa ubeberu na ukoloni wa nchi za Magharibi.

  • Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel

    Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel

    Mar 12, 2022 09:54

    Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.

  • Wabahrain waandamana kulaani safari ya mkuu wa majeshi ya Israel

    Wabahrain waandamana kulaani safari ya mkuu wa majeshi ya Israel

    Mar 11, 2022 04:38

    Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani safari ya Luteni Jenerali Aviv Kochavi, Mkuu wa Majeshi ya Israel nchini humo, sanjari na kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaitaka ICC kufuatilia uhalifu wa kivita wa Israel

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaitaka ICC kufuatilia uhalifu wa kivita wa Israel

    Mar 11, 2022 01:11

    Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuendeleza uchunguzi wake kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina.

  • Waturuki wachoma moto bendera za Wazayuni kulaani safari ya Rais wa Israel

    Waturuki wachoma moto bendera za Wazayuni kulaani safari ya Rais wa Israel

    Mar 10, 2022 00:40

    Wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano makubwa ya kupinga na kulaani safari ya Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

  • Imarati inawajengea vitongoji askari wa Israel huko Socotra, Yemen

    Imarati inawajengea vitongoji askari wa Israel huko Socotra, Yemen

    Mar 09, 2022 07:12

    Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kujenga vitongoji katika kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Imarati, kwa ajili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel; zaidi ya mwaka mmoja baada ya tawala hizo mbili kuanzisha uhusiano wa kawaida.

  • IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria

    IRGC: Israel italipa gharama ya kuua shahidi Wairani wawili huko Syria

    Mar 09, 2022 06:54

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema hakuna shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa kwa jinai yake ya kutekeleza shambulizi lililopelekea kuuawa shahidi askari wawili wa SEPAH nchini Syria.

  • Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria

    Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria

    Mar 09, 2022 06:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la roketi la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Syria, Damascus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS