-
Poland yakataa kulipa fidia kwa Marekani na Israel
Aug 14, 2021 21:54Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amepinga ukosoaji uliolenga hatua ya Bunge la nchi hiyo ya kupasisha sheria mbili zinazohusiana na umiliki wa vyombo vya habari na Holocaust na kusema kuwa, hakuna uwezekano wa kuruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kumiliki vyombo vya habari vya Poland.
-
Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco
Aug 11, 2021 22:51Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.
-
Asa'ib Ahl al-Haq ya Iraq: Tuna haki ya kujibu mashambulio ya Israel
Aug 10, 2021 23:17Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amesema kambi hiyo ya muqawama ina haki ya kujibu mapigo, kufuatia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameua vijana kadhaa wa mrengo huo wa mapambao ya Kiislamu.
-
Algeria yaendelea kupinga Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika
Aug 09, 2021 21:55Utata mkubwa ulioibuka baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika ungali unaendelea.
-
Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33
Aug 08, 2021 06:09Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jioni ya Jumamosi ya jana alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 15 tangu baada ya vita vya siku 33 na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jenerali Salami: Vita vijavyo vitaashiria mwisho wa uhai wa Israel
Aug 08, 2021 03:29Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameukumbusha utawala wa Kizayuni juu ya uwezo mkubwa wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika mapambano na vita vya nchi kavu na kuonya kuwa, hatua yoyote ghalati itakayopelekea kuibuka vita vipya, haitakuwa na matokeo mengine isipokuwa kufutwa Israel katika uso wa dunia.
-
Nasrullah: Hizbullah imejiandaa kutoa jibu zito kwa uchokozi wa Israel
Aug 08, 2021 03:24Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama haitaki vita, lakini pia haigopi vita kwa kuwa ina uhakika wa kuibuka mshindi iwapo vitaibuka.
-
Israel na duru mpya ya mivutano ya kiusalama na Muqawama
Aug 07, 2021 21:57Hatua za karibuni za Israel nje ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu zinaonyesha kuwa utawala huo unalielekeza eneo la Magharibi mwa Asia upande wa mivutano na machafuko mapya kwa kutegemea mahesabu yake yasiyo sahihi katika nyanja tatu za kieneo, ndani na kimataifa.
-
Shambulio la kijeshi la Israel kusini mwa Lebanon baada ya miaka 15; sababu, malengo na matokeo yake
Aug 06, 2021 20:42Vyombo ya habari vya Palestina vilitangaza alfajiri ya kuamkia Alkhamisi kwamba ndege za kivita za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia ngome kadhaa katika eneo la mpaka wa pamoja wa kusini mwa Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel kuitembelea Morocco
Aug 06, 2021 20:36Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kuitembelea Morocco wiki ijayo.