Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mlipuko mkubwa katika kiwanda nyeti cha makombora cha Israel

    Mlipuko mkubwa katika kiwanda nyeti cha makombora cha Israel

    Apr 21, 2021 23:16

    Mlipuko mkubwa umejiri katika kiwanda nyeti cha utawala wa Kizayuni wa Israel ambacho hutumika kutengeneza makombora.

  • Sanders ataka kubanwa misaada ya Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sanders ataka kubanwa misaada ya Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Apr 21, 2021 05:07

    Seneta wa kujitegemea wa Marekani, Bernie Sanders ameitaka serikali ya nchi hiyo kubana misaada yake kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa shabaha ya kuushinikiza ukomeshe kukalia kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Kimya cha IAEA baada ya uharibifu uliofanywa katika taasisi ya nyuklia ya Iran

    Kimya cha IAEA baada ya uharibifu uliofanywa katika taasisi ya nyuklia ya Iran

    Apr 14, 2021 21:55

    Hujuma ya uharibifu iliyofanywa na Israel katika taasisi ya nishati ya nyuklia ya Natanz nchini Iran siku ya Jumapili iliyopita, kwa mara nyingine tena imeleta udharura wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kama taasisi kuu zaidi ya kimataifa inayosimamia shughuli za nyuklia dunia, kutoa jibu na kueleza wazi msimamo wake.

  • Jerusalem Post: Shambulizi dhidi ya Natanz lilipangwa hapo awali

    Jerusalem Post: Shambulizi dhidi ya Natanz lilipangwa hapo awali

    Apr 12, 2021 07:02

    Gazeti la utawala wa Kizayuni la Jerusalem Post limeandika kuwa, hujuma dhidi ya taasisi ya nyuklia ya Natanz nchini Iran lilipangwa siku nyingi zilizopita kabla ya kuanza mazungumzo ya sasa huko Vienna baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za kundi la 4+1.

  • Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria

    Lebanon yaikosoa Israel kutumia anga yake kuishambulia Syria

    Apr 10, 2021 07:59

    Lebanon imekosoa vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel kutumia anga ya hiyo ya Kiarabu kutekeleza mashambulio ya makombora dhidi ya Syria.

  • Hamas: Kukataa kushirikiana na ICC kunaonesha upeo wa kiburi cha Israel

    Hamas: Kukataa kushirikiana na ICC kunaonesha upeo wa kiburi cha Israel

    Apr 10, 2021 03:15

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukataa kutoa ushirikiano kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kinaonesha wazi upeo wa jeuri na kiburi cha utawala huo haramu kwa taasisi za kimataifa.

  • Wanaharakati wa nchi za Kiarabu waanzisha kampeni ya kuisusia UAE kwa kuuza bidhaa za Israel

    Wanaharakati wa nchi za Kiarabu waanzisha kampeni ya kuisusia UAE kwa kuuza bidhaa za Israel

    Apr 08, 2021 22:08

    Wanaharakati wa mitandao ya kijamii katika nchi za Kiarabu wameanzisha kampeni ya kuususia Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati kwa kuuza bidhaa za Israel kwa kutumia chapa za biashara za Jordan na za eneo la Ufukwe wa Magharibi katika masoko ya nchi hiyo na kwa kuzisafirisha pia katika nchi zingine za Ghuba ya Uajemi.

  • Askari wa Israel wamuua shahidi dereva wa Kipalestina Ukingo wa Magharibi

    Askari wa Israel wamuua shahidi dereva wa Kipalestina Ukingo wa Magharibi

    Apr 06, 2021 23:03

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi dereva Mpalestina kwa kumpiga risasi akiwa ndani ya gari lake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Yafichuka: Mossad imehusika katika jaibio la mapinduzi nchini Jordan

    Yafichuka: Mossad imehusika katika jaibio la mapinduzi nchini Jordan

    Apr 05, 2021 08:25

    Tovuti ya Axios ya Marekani imefichua kuwa, shirika la ujasusi la Israel, MOSSAD, limehusika katika jaribio la mapinduzi lililofanyika nchini Jordan.

  • Jumatatu tarehe 5 Aprili mwaka 2021

    Jumatatu tarehe 5 Aprili mwaka 2021

    Apr 04, 2021 21:55

    leo ni Jumatatu tarehe 22 Shaabani 1442 Hijria sawa na Aprili 5 mwaka 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS