Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Palestina: Utawala haramu wa Israel unatekeleza mipango yake ya kikoloni

    Palestina: Utawala haramu wa Israel unatekeleza mipango yake ya kikoloni

    Apr 03, 2021 22:02

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelaani vikali hatua za jeshi la utawala haramu wa Israel za kuendelea kubomoa nyumba na makazi ya Wapalestina.

  • Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel

    Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel

    Mar 29, 2021 00:11

    Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) imefahamika kwamba, kwa mara nyingine tena kambi ya mrengo wa kuliai meibuka na ushindi katika uchaguzi huo.

  • Uafriti wa Israel wa kutaka kuvuruga uchaguzi wa Palestina

    Uafriti wa Israel wa kutaka kuvuruga uchaguzi wa Palestina

    Mar 22, 2021 22:14

    Mkuu wa shirika la usalama wa ndani la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shin Bet amemtaka Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aghairishe uchaguzi wa Palestina ikiwa harakati ya Hamas itashiriki katika uchaguzi huo.

  • Uturuki: Israel ni mkiukaji wa sheria za kimataifa

    Uturuki: Israel ni mkiukaji wa sheria za kimataifa

    Mar 20, 2021 06:09

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora ardhi na kubomoa nyumba za Wapalestina unakanyaga wazi sheria za kimataifa.

  • ‘Israel inashirikiana na magaidi katika hujuma zake dhidi ya Syria’

    ‘Israel inashirikiana na magaidi katika hujuma zake dhidi ya Syria’

    Mar 18, 2021 23:15

    Serikali ya Syria imesema utawala wa Kizayuni wa Israel unashirikiana na magaidi katika hujuma zake dhidi ya Syria.

  • Wanamuqawama watungua 'drone' ya kijasusi ya Israel huko Gaza

    Wanamuqawama watungua 'drone' ya kijasusi ya Israel huko Gaza

    Mar 18, 2021 05:10

    Wanamuqawama wa Palestina wamefanikiwa kutungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni wa Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Jeshi la Syria lazima tena shambulio la makombora la Israel

    Jeshi la Syria lazima tena shambulio la makombora la Israel

    Mar 17, 2021 04:00

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la anga la Syria limekabiliana na shambulizi la makombora la utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Rif Dimashq, viungani mwa mji mkuu Damascus usiku wa kuamkia leo.

  • Israel yakiri; Hizbullah inaweza kuvurumisha makombora 2,000 kwa siku dhidi yake

    Israel yakiri; Hizbullah inaweza kuvurumisha makombora 2,000 kwa siku dhidi yake

    Mar 17, 2021 01:06

    Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo wa kuvurumisha makombora elfu mbili kwa siku dhidi ya utawala huo haramu iwapo makabiliano ya kijeshi yataibuka baina ya pande hizo katika siku za usoni.

  • Waislamu wahamakishwa na hatua ya Kosovo kufungua ubalozi Quds

    Waislamu wahamakishwa na hatua ya Kosovo kufungua ubalozi Quds

    Mar 15, 2021 07:20

    Waislamu wameghadhabishwa mno na kitendo cha Kosovo kufungua ubalozi wa nchi hiyo ndogo ya Ulaya katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.

  • Syria yakanusha madai ya kufanya mazungumzo ya siri na Israel

    Syria yakanusha madai ya kufanya mazungumzo ya siri na Israel

    Mar 14, 2021 04:24

    Syria imekanusha vikali ripoti zinazodai kuwa maafisa wa ngazi za juu wa nchi hiyo ya Kiarabu wanafanya mazungumzo ya siri na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS