Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Brigedia Jenerali Nilforooshan: Israel imezungukwa na Iran kila upande

    Brigedia Jenerali Nilforooshan: Israel imezungukwa na Iran kila upande

    Sep 28, 2019 08:53

    Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umezingirwa kila upande na Iran na kuuonya utawala huo haramu dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi dhidi ya taifa hili.

  • Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina

    Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina

    Sep 26, 2019 00:44

    Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemtia mbaroni Waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.

  • Wamorocco wakasirishwa na kupeperushwa bendera ya Israel nchini kwao

    Wamorocco wakasirishwa na kupeperushwa bendera ya Israel nchini kwao

    Sep 24, 2019 08:42

    Safari ya ujumbe wa utawala haramu wa Israel ukiongozwa na mmoja wa viongozi wa chama cha Likud nchini Morocco na kupeperushwa bendera ya utawala huo kusini mashariki mwa nchi hiyo, kumezua malalamiko ya Wamorocco.

  • Netanyahu akaribia zaidi mlango wa jela baada ya Waarabu wa Israel kumuunga mkono Benny Gantz

    Netanyahu akaribia zaidi mlango wa jela baada ya Waarabu wa Israel kumuunga mkono Benny Gantz

    Sep 23, 2019 10:00

    Tangazo la uungaji mkono wa mrengo wa Orodha ya Pamoja ya Muungano wa Kiarabu kwa Benny Gantz kwa ajili ya kuunda serikali ya utawala haramu wa Kizayuni, limemkurubisha zaidi Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala huo kwenye hatua nyingine ya kuingia milango ya jela za Israel.

  • Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa uchaguzi wa Israel na mashambulio dhidi ya Aramco

    Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa uchaguzi wa Israel na mashambulio dhidi ya Aramco

    Sep 21, 2019 22:59

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah alasiri juzi Ijumaa Septemba 20 alitoa radiamali yake kwa uchaguzi wa bunge wa Israel na mashambulizi dhidi ya vituo vya mafuta vya Aramco vya Saudia.

  • Benjamin Netanyahu katika ukingo wa kuporomoka

    Benjamin Netanyahu katika ukingo wa kuporomoka

    Sep 19, 2019 21:55

    Zaidi ya asilimia 90 ya kura zilizohesabiwa katika uchaguzi wa bunge la utawala haramu wa Israel, inaeleza kuwa Benjamin Netanyahu yuko katika ukingo wa kutupwa kando, na kuna uwezekano wa kuingia madarakani waziri mkuu mpya.

  • Netanyahu katika njiapanda baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi

    Netanyahu katika njiapanda baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi

    Sep 19, 2019 09:31

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ameingiwa na kiwewe baada ya kubwagwa katika uchaguzi wa Bunge la Israel (Knesset).

  • Iran: Uchu wa madaraka wa 'Hitler mdogo' chachu ya kuangamizwa mapema Israel

    Iran: Uchu wa madaraka wa 'Hitler mdogo' chachu ya kuangamizwa mapema Israel

    Sep 15, 2019 03:19

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amemtaja Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, kama 'Hitler mdogo' na kusisitiza kuwa uchu wa madaraka wa Benjamin Netanyahu utakuwa mwanzo wa kuporomoka na kusambaratika utawala huo haramu.

  • Wanamuqawama wa Palestina watungua drone ya Israel Ukanda wa Gaza

    Wanamuqawama wa Palestina watungua drone ya Israel Ukanda wa Gaza

    Sep 14, 2019 23:06

    Vikosi vya muqawama vya Palestina vimefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Jasusi wa Israel,

    Jasusi wa Israel, "Chinjachinja wa Gereza ya al Khiyam", atiwa nguvuni Lebanon

    Sep 13, 2019 22:38

    Jasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel maarufu kwa jina la Chinjachinja wa gereza ya al Khiyam aliyekuwa ametorokea Marekani, ametiwa nguvuni baada ya kurejea nchini Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS