-
Zarif: Marekani haihitaji adui ikiwa na rafiki kama Israel
Sep 13, 2019 23:11Huku kukiwa na ripoti kuwa utawala haramu wa Israel umeweka vifaa vya ujasusi karibu na Ikulu ya White House, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewakejeli wakuu wa Washington na kusema, Marekani ikiwa na muitifaki ambaye anafanya ujasusi dhidi yake basi haihitaji maadui.
-
Israel yatuhumiwa kuweka vifaa vya ujasusi karibu na White House
Sep 12, 2019 22:08Serikali ya Marekani inautuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa umefunga vifaa vidogo vya ujasusi karibu na Ikulu ya White House na maeneo mengine muhimu mjini Washington D.C.
-
Muhuri wa IAEA wa kuunga mkono makubaliano ya JCPOA na mchezo mpya wa maigizo wa Netanyahu
Sep 10, 2019 06:09Baada ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomikia (IAEA) kutoa ripoti yake mpya inayotathmini hatua za Iran katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameibuka tena na kudai kuwa, miradi ya nyuklia ya Iran ni ya kijeshi na kwamba, eti taifa hili linataka kutengeza bomu la atomiki.
-
Zarif: Israel, mwana kilizi, ndiye mmiliki halisi wa silaha za nyuklia
Sep 10, 2019 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, aliyedai kuwa ana ushahidi mpya unaoonesha kuwa Tehran inaunda kwa siri silaha za nyuklia; ambapo amesema kauli hiyo ya kichochezi ya Benjamin Netanyahu inalenga kufanikisha ajenda ya vita ya utawala huo haramu.
-
Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah
Sep 03, 2019 22:11Gazeti la Kizayuni la Haaretz limekiri kuwa askari watano wa Israel walikuwemo ndani ya gari la kijeshi lililoripuliwa na wanamuqawama wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Al Manar: Kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni aangamizwa kwenye oparesheni ya Hizbullah ya Lebanon
Sep 01, 2019 12:46Televisheni ya al Manar imetangaza kuwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeangamiza moja ya zana za kijeshi za Israel katika barabara ya al Thakna katika mji wa mpakani wa Israel wa Avivim na kumuua kamanda wa kikosi kimoja wa jeshi la utawala wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika oparesheni iliyotekelezwa na harakati ya Hizbullah.
-
Muungano wa al Fat'h: Shambulizi la Israel dhidi ya vituo vya al Hashdu al Shaabi ni tangazo la vita dhidi ya Iraq
Aug 26, 2019 02:06Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa, mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya vituo na kambi za harakati ya al Hashdu al Shaabi ni sawa na tangazo la vita kwa Iraq na umetoa wito wa kukomeshwa udhibiti wa Marekani wa anga ya Iraq.
-
Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani
Aug 23, 2019 22:10Batalioni za Hizbullah ya Iraq zimetoa taarifa zikiitahadharisha Marekani kuhusiana na kuendeleza mashambulizi dhidi ya kambi na vituo vya harakati ya wananchi ya nchi hiyo ya al Hashdu al Shaabi.
-
Bashar al-Jaafari: Chimbuko la mizozo ya Mashariki ya Kati ni uvamizi wa Israel
Aug 21, 2019 03:19Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, chimbuko la mizozo na migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya Israel ya kuvamia na kukalia kwa mabavu ardhi za Kiarabu ikiwemo miinuko ya Golan ya Syria.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Israel
Aug 20, 2019 22:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kutokuwa na itikadi na asili ya Wilaya (uongozi katika Uislamu) baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu kumewafanya wawe vibaraka wa Marekani na utawala haramu wa Israel.