Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu

    Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu

    Nov 14, 2018 11:05

    Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Liberman ametangaza kujiuzulu wadhifa wake eti kulalamikia hatua ya harakati za mapambano za Palestina ikiwemo Hamas kufikia makubaliano ya kusitisha vita na utawala huo dhalimu katika Ukanda wa Gaza kupitia upatanishi wa Misri.

  • Wanamapambano wa Palestina wajibu mapigo, vituo vya Wazayuni vyamiminiwa makombora

    Wanamapambano wa Palestina wajibu mapigo, vituo vya Wazayuni vyamiminiwa makombora

    Nov 13, 2018 23:07

    Harakati za mapambano za Palestina alfajiri ya Jumatatu zilijibu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuvishambulia kwa makombora vitongoji zaidi ya 50 vya walowezi wa Kizayuni na vituo kadhaa vya askari wa Israel.

  • Saudia inanunua kwa siri silaha za Israel katika fremu ya 'Muamala wa Karne'

    Saudia inanunua kwa siri silaha za Israel katika fremu ya 'Muamala wa Karne'

    Nov 11, 2018 04:38

    Vyombo vya habari vya Kiarabu vimefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeiuzia Saudia Arabia vifaru vya kivita 500 aina ya Merkava vilivyoundwa katika viwanda vya utawala huo. Ununuzi huo wa siri umetajwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kufanyika baina ya Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni.

  • "Saudia ilitumia programu ya udukuzi ya Israel kumfuatilia Kashoggi"

    Nov 08, 2018 11:49

    Edward Snowden, afisa wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) amefichua nafasi ya utawala haramu wa Israel katika mauaji ya kikatili ya mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi yaliyofanywa na Riyadh nchini Uturuki mwezi uliopita.

  • Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu

    Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu

    Nov 06, 2018 04:30

    Wakuu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Quds tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakikosoa misimamo yake ya kibaguzi.

  • Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds

    Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds

    Nov 02, 2018 04:34

    Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.

  • Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU

    Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU

    Nov 02, 2018 04:11

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, Tel Aviv imehusika katika wimbi la hivi karibuni la upotoshaji, hadaa na tuhuma za urongo zinazozushwa na baadhi ya nchi za Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Alkhamis, Mosi Novemba, 2018

    Alkhamis, Mosi Novemba, 2018

    Oct 31, 2018 21:52

    Leo ni Alkhamisi tarehe 22 Safar 1440 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2018.

  • PLO yapiga kura kutaka kusimamishwa uamuzi wa kuitambua Israel na kuhitimishwa makubaliano yote ya pande mbili

    PLO yapiga kura kutaka kusimamishwa uamuzi wa kuitambua Israel na kuhitimishwa makubaliano yote ya pande mbili

    Oct 30, 2018 03:52

    Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO limepiga kura kupitisha uamuzi wa kusimamisha kuitambua rasmi Israel na kuhitimisha makubaliano yote iliyofikia harakati hiyo na Tel Aviv hadi utawala huo wa Kizayuni utakapoitambua nchi ya Palestina kulingana na mipaka ya mwaka 1967, na kuitambua Baitul Muqaddas Mashariki kuwa mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 5 Ghaza

    Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 5 Ghaza

    Oct 27, 2018 02:22

    Kwa akali Wapalestina watano wameuawa shahidi huku mamia ya wengine wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS