Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kuugawanya kimatumizi Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa kwa mahali na wakati kwa lengo la kuuyahudisha

    Kuugawanya kimatumizi Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa kwa mahali na wakati kwa lengo la kuuyahudisha

    Oct 25, 2018 04:47

    Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka wanaounga mkono njama za kuubomoa msikiti mtukufu wa Al-Asqa na kujenga mahali pake hekalu bandia la Kiyahudi wamependekeza mpango hatari na wa ubaguzi wa kimbari kwa madhumuni ya kupagawanya mahali hapo patakatifu.

  • Wahka, khofu na kuchanganyikiwa baraza la mawaziri la Israel

    Wahka, khofu na kuchanganyikiwa baraza la mawaziri la Israel

    Oct 23, 2018 11:04

    Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel, Ehud Barak amesema kuwa siasa za kupenda vita za Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo, zinaonyesha wahka, khofu na kuchanganyikiwa kwa baraza lake la mawaziri.

  • Wazayuni waendelea kuiba viungo vya miili ya watoto Wapalestina

    Wazayuni waendelea kuiba viungo vya miili ya watoto Wapalestina

    Oct 21, 2018 11:03

    Kwa mara nyingine tena utawala haramu wa Israel umetuhumiwa kuiba viungo vya miili ya watoto wa Kipalestina.

  • Watawala wa nchi za Kiarabu na ushirikiano wao wa kijasusi na Israel

    Watawala wa nchi za Kiarabu na ushirikiano wao wa kijasusi na Israel

    Oct 21, 2018 10:03

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika: Bahrain, Imarati (UAE) na Saudi Arabia zimesaini mikataba ya kitita kikubwa cha fedha na Israel kwa ajili ya kununua vifaa vya ujasusi kwa utawala huo.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Marekani na Israel zinatumia silaha ya elimu kuzidhalilisha nchi nyingine

    Sayyid Hassan Nasrullah: Marekani na Israel zinatumia silaha ya elimu kuzidhalilisha nchi nyingine

    Oct 20, 2018 12:15

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni zinatumia elimu na teknolojia kuyadhalilisha mataifa mengine duniani.

  • Arab League yaitaka jamii ya kimataifa iisaidie Palestina

    Arab League yaitaka jamii ya kimataifa iisaidie Palestina

    Oct 14, 2018 03:34

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani kushtadi wimbi la mauaji na jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, huku ikiitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kukabiliana na jinai hizo.

  • Israel yaazimia kuwabana zaidi wafungwa wa Kipalestina

    Israel yaazimia kuwabana zaidi wafungwa wa Kipalestina

    Oct 12, 2018 04:12

    Utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa kushadidisha mateso na kuwawekea mbinyo zaidi wafungwa wa Kipalestina unaowazuilia katika jela zake za kuogofya.

  • Jumatatu, Oktoba 8, 2018

    Jumatatu, Oktoba 8, 2018

    Oct 07, 2018 23:02

    Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba 8, mwaka 2018 Milaadia.

  • Shehe mpambe wa Bin Salman ataka kufanywa 'safari ya amani' Israel

    Shehe mpambe wa Bin Salman ataka kufanywa 'safari ya amani' Israel

    Oct 07, 2018 04:17

    Mwanachuoni mmoja mashuhuri ambaye ni mtu mwenye uhusiano wa karibu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman ametoa mwito wa kutumwa ujumbe wa viongozi wa 'dini tatu kuu' huko Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni, kwa lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro kati ya Palestina na Israel.

  • Ayatullah Movahhedi Kermani: Lengo la maadui ni kuleta hali ya kukatisha tamaa kwa wananchi

    Ayatullah Movahhedi Kermani: Lengo la maadui ni kuleta hali ya kukatisha tamaa kwa wananchi

    Sep 28, 2018 11:07

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la njama kubwa za maadui na hatua yao ya kuanzisha vita vya kila upande vya kiuchumi na kisaikolojia ni kuwakatisha tamaa na kuwachokesha wananchi wa Iran ambao daima wamekuwa na mahudhurio makubwa katika medani za masuala ya Iran ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS