-
Atwan: Israel haina ubavu wa kutekeleza vitisho inavyotoa dhidi ya Iran
Nov 29, 2017 01:35Gazeti la Al-Ra'yul-Yaum limeandika kuhusu vitisho hewa vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba Tel Aviv haiwezi kutekeleza kivitendo vitisho vyake vya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran nchini Syria na kumuua kigaidi Jenerali Qassim Soleimani, kwa sababu ikijaribu kufanya hivyo itakabiliwa na mwisho mbaya na si hasha ikawa sababu ya kuangamizwa moja kwa moja.
-
Israel: Tunapanga kumuua Nasrullah katika vita vijavyo dhidi ya Lebanon
Nov 28, 2017 04:16Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetishia kwamba Sayyid Hasssan Nasrullah, kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon yupo kwenye shabaha ya kuuawa katika vita vijavyo vya Tel Aviv dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hamas: Silaha zetu ni mstari mwekundu, hazina mjadala
Nov 28, 2017 04:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imepinga mwito wa kuitaka iweke chini silaha kama sehemu ya maridhiano ya kitaifa kati yake na harakati ya Fat'h.
-
Saudia ipo tayari 'kuitoa kafara' Palestina ili kuimarisha uhusiano na Israel
Nov 26, 2017 23:33Mshauri wa zamani wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia uko tayari 'kuitoa kafara' Palestina kwa lengo la kuimarisha uhusiano wake na Tel Aviv.
-
Waziri wa zamani wa Israel ajifakharisha kwa mauaji dhidi ya Wapalestina
Nov 26, 2017 23:31Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Israel amejifakharisha kwa mauaji aliyoyafanya dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Shughuli za kijeshi za nyuklia za utawala wa Kizayuni, chanzo cha wasiwasi wa jamii ya kimataifa
Nov 26, 2017 03:51Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema shughuli za nyuklia za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na jamii ya kimataifa kwa ujumla.
-
Tamko la mwisho la kikao cha kimataifa cha wapenzi wa Ahlul Bayt AS mjini Tehran
Nov 24, 2017 00:46Washiriki wa kikao cha kimataifa cha wapenzi wa Ahlul Bayt wa kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW kilichofanyika hapa mjini Tehran, wamemaliza kikao chao cha siku mbili kwa kutoa tamko lenye vipengee 10 na ndani yake kusisitizia umuhimu wa Palestina na udharura wa kukombolewa Quds tukufu.
-
Jeshi la Lebanon lawekwa katika hali ya tahadhari kutokana na chokochoko za Israel
Nov 21, 2017 23:34Mkuu wa Jeshi la Lebanon amewataka wanajeshi wa nchi hiyo kuwa katika hali ya tahadhari hususan katika maeneo ya mpaka wa kusini, ili kuzima chokochoko zozote zinazoweza kuanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi kuanza Novemba 27
Nov 17, 2017 03:41Duru mpya ya mazungumzo kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Burundi inatazamiwa kuanza tena Novemba 27 hadi Disemba 8, mwaka huu.
-
Saudia yaichochea Israel iihujumu Lebanon, Hizbullah yasema iko tayari kijeshi
Nov 13, 2017 23:34Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kwa ajili ya makabiliano yoyote ya kijeshi huku kukiwa na tetesi kuwa Saudi Arabia inauchochea utawala wa Kizayuni wa Israel uishambulie Lebanon kijeshi.