Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Maafisa wa ngazi za juu wa Saudi Arabia na Israel wakutana Marekani

    Maafisa wa ngazi za juu wa Saudi Arabia na Israel wakutana Marekani

    Nov 12, 2017 01:16

    Tzipi Livni Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekutana na Turki al Faisal, mkuu wa zamani wa shirika la kijasusi la Saudi Arabia.

  • Marekani kuipa Israel dola milioni 705 kujiimarisha kwa makombora

    Marekani kuipa Israel dola milioni 705 kujiimarisha kwa makombora

    Nov 11, 2017 03:57

    Katika hali ambayo Marekani imezusha kelele nyingi kuhusu miradi ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mabaraza ya Congress na Senate ya nchi hiyo yamefikia mwafaka wa kuupatia utawala wa Kizayuni wa Israel msaada wa dola milioni 705 kwa ajili ya kuendeleza miradi yake ya makombora.

  • Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati

    Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati

    Nov 10, 2017 11:33

    Imebainika kuwa, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinapanga njama ya kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Waziri wa Uingereza ajiuzulu kwa kufanya mikutano ya siri na Netanyahu

    Waziri wa Uingereza ajiuzulu kwa kufanya mikutano ya siri na Netanyahu

    Nov 09, 2017 04:20

    Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Priti Patel amelazimika kujiuzulu kutokana na mtikisiko wa kisiasa nchini humo uliosababishwa na yeye kufanya mikutano ya siri na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel akiwemo Waziri Mkuu wa utawala huo bandia, Benjamin Netanyahu.

  • Israel yazitaka balozi zake kushirikiana zaidi na Saudia  dhidi ya Hizbullah

    Israel yazitaka balozi zake kushirikiana zaidi na Saudia dhidi ya Hizbullah

    Nov 07, 2017 11:06

    Utawala haramu wa Kizayuni na katika kulinda maslahi ya Saudi Arabia duniani dhidi ya haraki ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon, imetoa ujumbe kwa balozi zake kuhusiana na suala hilo.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelea mapambano anuia dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelea mapambano anuia dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nov 02, 2017 04:23

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili wa Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akisistiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.

  • Ripoti: Abbas asema hatochagua mawaziri kutoka HAMAS kama hawatokubali kuitambua Israel

    Ripoti: Abbas asema hatochagua mawaziri kutoka HAMAS kama hawatokubali kuitambua Israel

    Oct 30, 2017 23:16

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameripotiwa amesema kuwa hatowachagua wanachama wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kuwa mawaziri katika serikali yake endapo hawatokuwa tayari kutamka wazi na hadharani kuwa wanautambua utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Njama za Marekani za kukandamiza harakati ya ususiaji utawala wa Israel

    Njama za Marekani za kukandamiza harakati ya ususiaji utawala wa Israel

    Oct 30, 2017 10:03

    Kufuatia kuimarika harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji dhidi ya Israel maarufu kwa jina la BDS nchini Marekani, jimbo la Wisconsin nchini humo limejiunga na majimbo ambayo yamepiga marufuku utiwaji saini mikataba na mashirika ambayo yanaunga mkono harakati hiyo ya kususia Israel.

  • Hamas yapinga ushirikiano wa kiusalama kati ya serikali ya Abbas na Israel

    Hamas yapinga ushirikiano wa kiusalama kati ya serikali ya Abbas na Israel

    Oct 28, 2017 23:35

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali kuanza tena ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya kiusalama.

  • Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli

    Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli

    Oct 28, 2017 04:34

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio umehusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya afisa wa ngazi ya juu wa harakati hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS