-
Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel
Oct 27, 2017 12:00Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.
-
Naibu Mkuu wa HAMAS: Israel ndio "Hatari Kuu"
Oct 26, 2017 11:46Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amezitaka nchi na pande zote za eneo la Mashariki ya Kati zikubaliane na fikra kwamba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio "Hatari Kuu".
-
Israel kuwafukuza kwa nguvu wahajiri Waafrika
Oct 25, 2017 23:07Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amefikia makubaliano na viongozi wa nchi za Afrika kuhusiana na kuwarejesha kwa nguvu Waafrika wanaoingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Iran yamhukumu kifo jasusi wa Mossad ya Israel
Oct 25, 2017 00:33Mwendesha mashtaka wa Tehran amesema ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kuipa Tel Aviv taarifa zilizopelekea kuuawa shahidi wataalamu wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Gazeti la Kizayuni: Silaha za Israel inazouziwa Myanmar ndizo zinatumika kuwaua Waislamu
Oct 23, 2017 10:38Gazeti la utawala wa Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa silaha za kisasa za Israel zinazouzwa kwa serikali ya Myanmar, ndizo zinatumika kuwaua Waislamu wa nchi hiyo.
-
Sheikh Naim Qassim utawala wa Kizayuni wa Israel utabakia kuwa ni adui
Oct 22, 2017 10:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea kubakia kuwa ni adui siku zote.
-
Kudhihirishwa Iran kuwa ni tishio; kisingizio kinachotumiwa na Wasaudia na Wazayuni kuimarisha uhusiano
Oct 22, 2017 04:33Duru za Kizayuni zimekiri kuwa Muhammad bin Salman Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia mwezi Septemba uliopita alifanya safari ya siri huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu katika fremu ya juhudi za kuanzisha na kupanua mashauriano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni.
-
Siasa mbovu za Barzani kuhusu Kurdistan, zimemfanya apoteze marafiki wote isipokuwa Israel
Oct 20, 2017 04:36Nouri al-Maliki, Makamu wa Rais wa Iraq amesema kuwa siasa mbovu za Masoud Barzani kuhusu eneo la Kurdistan ya Iraq, zimemfanya apoteze marafiki zake wote isipokuwa utawala haramu wa Kizayuni.
-
Hamas: Hakuna wa kutushurutisha tuvunje jeshi letu au tuitambue Israel
Oct 20, 2017 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuishurutisha harakati hiyo ya muqawama kuvunja tawi lake la kijeshi au kuutambua utawala haramu wa Israel kama masharti ya kukubali mapatano ya kitaifa ya Wapalestina.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Mabunge wagubikwa na malalamiko dhidi ya Israel + Video
Oct 19, 2017 09:33Spika wa Bunge la Kuwait ameutaja ujumbe wa utawala wa Kizayuni katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge huko Russia kuwa ni ghasibu na unaoua watoto na akautaka ujumbe huo utoke kwenye ukumbi unapofanyikia mkutano huo.