-
Kufichuliwa nafasi ya jasusi wa Uholanzi katika hujumu dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran
Jan 10, 2024 02:34Gazeti la Volkskrant la Uholanzi limefichua kuwa, raia mmoja wa nchi hiyo alikuwa na mchango mkubwa katika operesheni ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuhujumu kituo cha kurutubisha uranium cha Natanz nchini Iran.
-
Maafisa wa Intelijensia wa Marekani: Israel haitaweza kushinda vita dhidi ya Hizbullah
Jan 08, 2024 02:47Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa, tathmini ya siri iliyofanywa na Shirika la Ulinzi wa Intelijensia la Marekani (DIA) imegundua kwamba "itaviwiya vigumu kufanikiwa" vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vya medani mbili dhidi ya Hamas huko Gaza na Hizbullah huko Lebanon.
-
Hizbullah yaishambulia Israel kwa makombora 62 katika jibu la kwanza kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas
Jan 07, 2024 07:13Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema, imeshambulia kituo cha upelelezi wa angani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa mlolongo wa makombora katika jibu lake la kwanza kwa mauaji ya Naibu Kiongozi wa Hamas yaliyofanywa na utawala huo wa kigaidi.
-
Umoja wa Mayahudi wa Ufaransa kwa ajili ya Amani: Israel 'inauua Uyahudi'
Jan 07, 2024 06:08Umoja wa Mayahudi wa Ufaransa kwa ajili ya Amani (The French Jewish Union for Peace) UJFP umeishutumu Israel kwa "kuua Uyahudi" kutokana na mashambulizi yake ya kikatili unayofanya katika Ukanda Gaza na kueleza kwamba vyombo vya habari vya Israel vinapata burudani kwa mateso wanayopata Wapalestina.
-
Ripoti: Israel inapanga kuwahamishia Afrika Wapalestina wa Gaza
Jan 04, 2024 23:02Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha ripoti zinazodai kuwa, utawala wa Kizayuni unafanya mazungumzo ya siri ili kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi nyingine za Afrika.
-
Benki Kuu ya Israel: Vita vya Ghaza vinazidi kututia hasara, itafika dola bilioni 58
Jan 03, 2024 23:13Gavana wa Benki Kuu ya Israel amesema kuwa vita vya Ghaza vinazidi kutia hasara utawala wa Kizayuni na hasara hizo zinaweza kupindukia dola bilioni 58 za Kimarekani.
-
Jihadul Islami: Pendekezo la Israel limefichua lengo la vita dhidi ya Gaza
Jan 02, 2024 03:33Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imelaani vikali mpango wa Israel wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka katika nchi nyingine na kusisitiza kuwa, pendekezo hilo limeweka bayana kuwa utawala huo haramu unaendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hilo la pwani lililozingirwa.
-
Euro-Med Monitor: Jeshi la Israel linaiba, kupora mali za Wapalestina huko Gaza
Dec 31, 2023 23:35Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limefichua kuwa pamoja na kuua maelfu ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, vikosi vya jeshi la Israel pia vimekuwa vikiendesha zoezi la uporaji wa kimfumo katika nyumba za Wapalestina kwenye eneo hilo linalozingirwa, na kuiba mali zao.
-
Hatua mpya ya serikali ya Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni
Dec 30, 2023 07:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kupitia taarifa kuwa imetumia mamlaka iliyopewa kisheria kuuzia utawala wa haramu wa Israel shehena ya silaha bila idhini ya wabunge wa Kongresi ya nchi hiyo.
-
Kuongezeka mashinikizo ya familia za mateka wa Israel dhidi ya Netanyahu
Dec 27, 2023 04:18Kutokana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, kushindwa kuwakomboa mateka wa Kizayuni kutoka mikononi mwa wapiganaji wa Hamas, mashinikizo ya ndani dhidi ya waziri mkuu huyo wa utawala ghasibu yameongezeka.