-
Press TV: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani imefanyika Rome katika 'anga chanya'
Apr 19, 2025 14:32Duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome leo Jumamosi katika "anga chanya". Hayo yameelezwa na ripota wa chaneli ya televisheni ya Press TV.
-
Alkhamisi, tarehe 6 Machi, 2025
Mar 06, 2025 02:25Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 6 Machi mwaka 2025.
-
Waziri Mkuu wa Italia achunguzwa kwa kumuachia huru mshukiwa wa ICC
Jan 29, 2025 10:30Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amewekwa chini ya uchunguzi wa mahakama kufuatia uamuzi wa serikali yake wa kumwachilia huru afisa wa polisi wa Libya anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Trump ang'ang'ania mpango wake wa kutaka Wapalestina wahamishwe Ghaza, amwalika Netanyahu
Jan 29, 2025 03:28Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kung'ang'ania pendekezo lake la kuhamishwa Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jumatano, tarehe 11 Disemba, 2024
Dec 11, 2024 02:45Leo ni Jumatano tarehe 09 Jumadithani 1446 Hijria sawa na tarehe 11 Disemba 2024.
-
Mamilioni ya Wasenegal wameelekea vituo vya kupigia kura kuchagua Bunge jipya
Nov 17, 2024 12:13Wasenegal leo wamepiga kura katika uchaguzi wa Bunge ambao utaamua kama rais mpya wa nchi hiyo Bassirou Diomaye Faye ataweza kufanya mageuzi makubwa aliyokusudia au la.
-
Jumatano, Novemba 6, 2024
Nov 06, 2024 02:13Leo ni Jumatano tarehe 04 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe 6 Novemba 2024.
-
Iran yatilia mkazo wajibu wa kukomeshwa haraka mauaji ya Ukanda wa Ghaza
Aug 13, 2024 10:45Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Tehran sambamba na kuendelea na jitihada zake za kuhakikisha utawala wa Kizayuni unakomesha mashambulizi na ukatili wake huko Ghaza, inashikilia pia haki yake ya dhati na ya kisheria ya kuchukua hatua yoyote itakayoona inafaa kujibu jinai za Israel.
-
Iran yamuita balozi wa Italia kulalamikia hatua ya Canada dhidi ya IRGC
Jun 21, 2024 07:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Italia mjini Tehran ambaye anawakilisha pia maslahi ya Canada hapa nchini, kulalamikia hatua ya serikali ya Ottawa ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi".
-
Italia yaitaka Israel isitishe operesheni za kijeshi Rafah
May 17, 2024 07:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomesha operesheni zake za kijeshi katika mji wa Rafah, wa kusini mwa Ukanda wa Gaza.