-
Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali
Mar 31, 2024 11:28Wananchi huko Italia, Norway, Marekani, Japan na Morocco kwa mara nyingine tena wameandamana kulaani mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina yanayofanywa na wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Ukosoaji wa Afrika Kusini dhidi ya Israel kwa kukaidi uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Mar 21, 2024 07:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuwa kutotekelezwa maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya Israel kunaidhoofisha mahakama hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa
Feb 16, 2024 02:43Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
-
Ombi la Italia la kuunda jeshi la Ulaya
Jan 09, 2024 02:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani, amesema kwamba Umoja wa Ulaya unapaswa kuunda jeshi lake la pamoja ambalo linaweza kuwa na jukumu la kudumisha amani na kuzuia migogoro.
-
Kuvunjika muungano wa baharini wa Marekani kwa kujiondoa Ufaransa, Uhispania na Italia
Dec 25, 2023 05:52Marekani imetangaza kuunda Muungano wa Baharini ikiwa ni katika jitihada zake za kuendelea kuutetea kwa hali na mali utawala ghasibu wa Israel katika hujuma yake ya kinyama dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kukabiliana na mashambulizi ya Yemen katika Bahari Nyekundu dhidi ya meli zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel huko Palestina.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia
Nov 05, 2023 13:41Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin kushiriki maandamano ya kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, huku idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi hadi sasa katika mashambulizi dhidi ya Ukanda wa Gaza ikipindukia 10,000.
-
Italia yazilaumu nchi za Magharibi kwa kuivamia kijeshi Libya wakati wa Gaddafi
Aug 18, 2023 04:36Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa Italia amezilaumu nchi za Magharibi kwa kuivamia kijeshi Libya wakati wa harakati za wananchi za kuipindua serikali ya kiongozi wa muda mrefu Muammar Gaddafi lakini ameshindwa kulaumu uharibifu mkubwa uliofanywa na madola hayo ya Magharibi katika uvamizi wao huo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia atahadharisha kuenea ghasia za Ufaransa katika nchi nyingine
Jul 04, 2023 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesisitiza kuwa nchi za Ulaya zinapasa kubuni sera ili kuzuia machafuko yaliyoigubika Ufaransa kuenea katika nchi nyingine.
-
Ijumaa, Juni 02, 2023
Jun 02, 2023 01:31Leo ni Ijumaa tarehe 13 Mfunguo Pili Dhulqaada 1444 Hijria sawa na tarehe Pili Juni 2023 Milaadia.
-
Kongamano la kimataifa la Palestina lafanyika Rome Italia
May 17, 2023 06:27Kongamano la kimataifa la Palestina katika sheria za kimataifa limefanyika katika ubalozi wa Palestina mjini Rome mji mkuu wa Italia.