-
Mahakama ya Kodivaa yaanza kusikiliza kesi dhidi ya mke wa Gbagbo
Jun 01, 2016 03:08Mahakama moja nchini Kodivaa imeanza kusikiliza kesi ya jinai za kivita inayomkabili Simone Gbagbo, mke wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo.
-
Kodivaa yamkamata mshukiwa wa ulipuaji bomu hoteli ya Grand Bassam
May 27, 2016 03:24Wakuu wa Kodivaa wamesema wamemkamata mtu anayeshukiwa kusafirisha silaha zilizotumika katika hujuma ya kigaidi ilyopelekea watu 19 kuuawa katika hoteli moja ya kifahari ya Grand Bassam nchini humo.
-
Mahakama ya Burkina Faso yasisitizia kutekelezwa hukumu ya kutiwa mbaroni Blaise Compaoré
May 02, 2016 23:29Mahakama ya kijeshi ya Burkina Faso imesema kuwa, hukumu ya kutiwa mbaroni rais wa zamani wa nchi hiyo, Blaise Compaoré na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Guillaume Soro, lazima itatekelezwa.
-
Kodivaa yawarejesha nyumbani raia wake kutoka Gabon
Apr 29, 2016 23:41Wizara ya Mambo ya Nje ya Ivory Coast imetangaza kuwa, imewarejesha nyumbani zaidi ya raia 100 kutoka Gabon kutokana na kuwa na hali mbaya za kimaisha.
-
Wakimbizi raia wa Ivory Coast watakiwa kurejea nchini kwao
Apr 13, 2016 23:11Serikali ya Ivory Coast imewataka raia wa nchi hiyo ambao wamekimbilia katika nchi jirani na kuomba hifadhi ya ukimbizi kurejea nchini kwao.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Ivory Coast
Mar 15, 2016 11:54Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi ya hivi karibuni iliyosababisha watu 19 kuuawa nchini Ivory Coast.
-
Magaidi wa Al Qaeda walilewa kabla ya kuvamia Kodivaa
Mar 15, 2016 11:47Magaidi wa Al Qaeda waliingia katika baa moja na kunywa pombe kabla ya kuanza kufyatua risasi kiholela katika eneo la kitalii kwenye ufukwe wa bahari nchini Ivory Coast ambapo watu wasiopungua 18 waliuawa katika mji wa Grand-Bassam.