-
Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran Jumamosi
Apr 22, 2016 16:23Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya kesho akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.
-
Zuma azidi kusakamwa, kesi dhidi yake yawasilishwa mahakamani
Apr 10, 2016 08:01Kiongozi wa jamii ya Khoisan nchini Afika Kusini amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Zuma Anusurika kura ya kumwondoa madarakani
Apr 06, 2016 07:31Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.
-
Mahakama: Rais Zuma alikiuka katiba, arejeshe fedha zilizofujwa
Mar 31, 2016 14:12Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini imemuagiza Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kuirejeshea serikali sehemu ya dola milioni 16 za Marekani zilizotumika kukarabati makazi yake binafsi, kwenye moja ya kashfa kubwa za ufisadi zilizowahi kuripotiwa nchini humo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi
Feb 22, 2016 07:52Mtandao mmoja wa habari wa Afrika Kusini umesema kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anatarajiwa kutembelea Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Februari.