Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Afrika ya Kati

  • Wito watolewa kuwachukulia hatua waliotenda jinai Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Wito watolewa kuwachukulia hatua waliotenda jinai Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Apr 23, 2016 22:18

    Jumuiya za kutetea haki za binadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati zimetoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria wale wote waliohusika na jinai na vitendo vya utumiaji mabavu nchini humo.

  • Askari wa Umoja wa Mataifa auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Askari wa Umoja wa Mataifa auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Apr 19, 2016 03:20

    Askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa katika hujuma ya waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Katibu Mkuu wa UN ashtushwa na madai mapya ya unyanyasaji wa kingono Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Katibu Mkuu wa UN ashtushwa na madai mapya ya unyanyasaji wa kingono Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 31, 2016 23:48

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ameshtushwa na ripoti za matukio mapya ya kashfa za unyanyasaji wa kingono uliofanywa na askari wa kulinda amani wa umoja huo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) aapishwa

    Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) aapishwa

    Mar 31, 2016 04:29

    Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati aliapishwa rasmi jana katika sherehe zilizofanyika katika uwanja mkuu wa michezo mjini Bangui.

  • UN yaanzisha uchunguzi wa kesi za ubakaji wa askari wake CAR

    UN yaanzisha uchunguzi wa kesi za ubakaji wa askari wake CAR

    Mar 29, 2016 02:28

    Umoja wa Mataifa umeanzisha uchunguzi wa kesi za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia, zinazowakabili askari wa kofia ya buluu wa umoja huo ambao wanahudumu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Mtaalamu wa UN atoa indhari kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mtaalamu wa UN atoa indhari kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 13, 2016 00:00

    Marie-Thérèse Keita-Bocoum, mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu amesema hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi.

  • 12 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati

    12 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 06, 2016 12:59

    Watu 12 wameuliwa na watu wenye silaha katika vijiji vya Jamhuri ya Afrika ya Kati, katika mapigano ya kwanza tangu Faustin-Archange Touadera kuidhinishwa kuwa rais wa nchi hiyo, Jumanne iliyopita.

  • Mahkama ya Katiba nchini CAR yaidhinisha ushindi wa Faustin

    Mahkama ya Katiba nchini CAR yaidhinisha ushindi wa Faustin

    Mar 01, 2016 23:18

    Mahkama ya katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imeidhinisha ushindi wa rais mpya wa nchi hiyo Faustin-Archange Touadéra.

  • Ufaransa yatuhumiwa kuwa na nafasi katika machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Ufaransa yatuhumiwa kuwa na nafasi katika machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Feb 28, 2016 13:02

    Wanasiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameituhumu Ufaransa kuwa ina nafasi kuu katika kuzusha machafuko nchini humo.

  • Radiamali ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi

    Radiamali ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi

    Feb 24, 2016 07:18

    Uchaguzi katika nchi iliyokumbwa na machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati umemalizika huku kukiwa na hisia tofauti kuhusu uchaguzi huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS