Radiamali ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i1852-radiamali_ya_wananchi_wa_jamhuri_ya_afrika_ya_kati_baada_ya_uchaguzi
Uchaguzi katika nchi iliyokumbwa na machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati umemalizika huku kukiwa na hisia tofauti kuhusu uchaguzi huo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 24, 2016 07:18 UTC

Uchaguzi katika nchi iliyokumbwa na machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati umemalizika huku kukiwa na hisia tofauti kuhusu uchaguzi huo.

Kumeripotiwa kuweko ukosefu wa usalama katika maeneo tofauti ya nchi hiyo mara baada ya kutangazwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi huo.

Tumezungumza na mwandishi wetu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Mossi Mwasi, ili kupata maelezo zaidi.