-
Upinzani DRC wamtaka Tshisekedi kuachana na mpango wa kubadili katiba
Aug 25, 2026 11:26Kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemtaka Rais Felix Tshisekedi kuachana na mapendekezo ya kufanyia marekebisho katiba ambayo wapinzani wanahofia yanaweza kutoa mwanya kwa rais huyo kugombea muhula wa tatu wa urais.
-
Rais wa Zambia aahidi kukuza uchumi baada ya kushinda uchaguzi
Aug 19, 2026 10:49Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema kuwa atatumia muhula wake mpya kukuza uchumi wa nchi hiyo na kuandaa fursa zaidi kwa wananchi ili kupunguza gharama za maisha.
-
Mwanasheria Mkuu Kenya akosa kujibu iwapo waliotimuliwa afisini wanaweza kuwania urais au la
Aug 19, 2026 09:38Mvutano wa kisheria kuhusu iwapo viongozi waliotimuliwa afisini kupitia Bunge wanaweza kugombea nyadhifa za kisiasa kabla ya kesi zao kukamilika bado utaendelea kutokota nchini Kenya.
-
Hichilema ashinda uchaguzi wa rais wa Zambia kwa asilimia 60 ya kura
Aug 18, 2026 03:23Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa takriban asilimia 60 ya kura zilizopigwa wiki iliyopita. Hayo yametangazwa mapema leo Jumanne na Tume ya Uchaguzi ya Zambia.
-
Tel Aviv inawakera hata washirika wake, Ufaransa yalituhumu shirika la Israel kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo
Jun 16, 2026 02:52Baada ya takriban mwezi mmoja wa uchunguzi rasmi, Paris imeituhumu kampuni ya Israel kwa kuingilia uchaguzi uliopita nchini Ufaransa, na imetaka maelezo kutoka Tel Aviv kuhusu suala hilo.
-
Uchaguzi mkuu Ethiopia; Abiy Ahmed anatarajiwa kushinda tena kiti cha Waziri Mkuu
Jun 01, 2026 02:42Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.
-
Rwanda yachapisha orodha ya mwisho ya wagombea 3 wa urais na zaidi ya wagombea 500 wa ubunge
Jun 16, 2024 02:41Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda imetangtaza orodha ya mwisho ya wagombeaji wa uchaguzi wa rais na wabunge uliopangwa kufanyika mwezi ujao.
-
Maelfu waandamana Kongo DR kupinga mashine za kielektroniki za kura
Oct 26, 2018 11:03Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano hii leo katika mji mkuu Kinshasa na miji mingine mikuu ya nchi hiyo wakitaka kutotumika mashine za kupiga kura kwa njia ya kielektroniki, huku wakisisitiza kuwa mashine hizo huenda zikapelekea kuibiwa kura.
-
Wagombea wenye chuki na Uislamu wameongezeka sana wakati wa urais wa Trump
Oct 22, 2018 23:31Uchunguzi mpya ambao ripoti yake imetolewa hivi karibuni unaonesha kuwa, kadiri muda wa uchaguzi mdogo wa bunge la Marekani unavyokaribia ndivyo wagombea wenye chuki na Uislamu wanavyozidi kujitokeza.
-
Matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Cameroon kutangazwa leo
Oct 21, 2018 19:49Matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 7 nchini Cameroon yanatazamiwa kutolewa leo Jumatatu.