-
Serikali ya umoja wa kitaifa Libya yaunga mkono mchakato wa uchaguzi
Sep 30, 2018 14:25Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amekutaja kufanyika chaguzi za bunge na rais nchini humo kuwa njia bora zaidi kwa ajili ya kurejesha amani nchini humo.
-
Al Sirraj aahidi kuandaa mazingira mazuri ya kufanyika uchaguzi Libya
Sep 25, 2018 13:44Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa serikali yake itaandaa mazingira mazuri ya kufanyka uchaguzi licha ya mapigano yanayoendelea sasa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Katumbi: Matokeo ya uchaguzi wa Kongo DR kuyumbisha uthabiti Afrika
Sep 23, 2018 07:58Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye kwa sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji ametadharisha kuwa, matokeo ya uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwishoni mwa mwaka huenda yakavuruga amani na uthabiti sio tu katika nchi hiyo bali kote barani Afrika.
-
Hillary Clinton awataka wananchi wa Marekani wakabiliane na siasa za udikteta za Donald Trump
Sep 19, 2018 14:31Hillary Clinton, Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametahadharisha kwamba, endapo Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ataachwa afanye atakacho na kutokuweko uangalizi na usimamizi juu yake, basi nchi hiyo ijiandae kukabiliwa na matokeo hasi na mabaya.
-
Sarraj: Uchaguzi hauwezi kufanyika Libya katika mazingira ya sasa
Sep 12, 2018 14:10Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema ni muhali kufanyika uchaguzi nchini humo katika mazingira ya hivi sasa.
-
Tume ya Uchaguzi DRC yamzuia Bemba kugombea urais
Aug 25, 2018 06:45Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imemzuia mpinzani Jean-Pierre Bemba kugombea urais katika uchaguzi ujao wa rais.
-
Kambi ya upinzani Mali yapinga matokeo ya uchaguzi wa rais
Aug 17, 2018 04:08Kambi ya upinzani nchini Mali imepinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa jana na kumpa ushindi Rais wa nchi hiyo, Ibrahim Boubacar Keïta.
-
Kuteuliwa Ramazani Shadary kumrithi rais Kabila kunaweza kuakhirisha uchaguzi Kongo DR
Aug 09, 2018 08:02Wasiwasi wa kuahirishwa uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka zaidi, siku moja tu baada ya chama tawala cha Rais Joseph Kabila kumtangaza Emmanuel Ramazani Shadary kuwa mbeba bendera ya chama hicho pamoja na vyama tanzu katika uchaguzi huo.
-
Kiongozi wa upinzani Mali alalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais
Aug 06, 2018 08:05Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Mali amelalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais na ameamua kupeleka mashtaka mahakamani.
-
Upinzani, fujo na machafuko yaendelea baada ya uchaguzi nchini Zimbabwe.
Aug 04, 2018 15:51Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe ameyakataa matokeo ya uchaguzi wa rais akisema ni ya "uongo".