-
Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq
Aug 04, 2018 01:25Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.
-
Bemba kurejea nyumbani Kongo DR wiki ijayo kuwania urais
Jul 25, 2018 01:20Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye mwezi Mei mwaka huu aliondolewa mashitaka na kuachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), anatazamiwa kurejea DRC wiki ijayo.
-
UN: Wapiga kura wanatishiwa Zimbabwe kuelekea uchaguzi mkuu
Jul 24, 2018 16:24Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi mkubwa ilionao kuhusu kukithiri visa vya wapiga kura kutishiwa maisha nchini Zimbabwe, baadhi yao wakilazimishwa kushiriki mikutano wa kisiasa, zikiwa zimesalia siku chache wananchi waelekee katika masanduku ya kupigia kura kuwachagua viongozi wao.
-
Rais wa Cameroon Paul Biya kubakia madarakani hadi 2025
Jul 14, 2018 07:51Rais wa Cameroon Paul Biya, ambaye yuko madarakani kwa karibu miaka 36 sasa, ametangaza kuwa atagombea muhula mwingine katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 7 mwaka huu.
-
Bemba kugombea urais nchini Kongo baada ya kuachiwa huru na ICC
Jul 14, 2018 07:46Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye hivi karibuni aliachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ameteuliwa na chama chake kugombea urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Rais wa Ghana awafuta kazi wakuu wa tume ya uchaguzi
Jun 29, 2018 07:19Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini humo, Charlotte Osei kutokana kile alichotaja kama utovu wa nidhamu na utepetevu.
-
Kabila wa DRC afuata nyayo za Nkurunziza, asema hatagombea muhula wa tatu wa urais
Jun 13, 2018 07:08Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo hatagombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
-
Nkurunziza asema hatogombea urais nchini Burundi mwaka 2020+SAUTI
Jun 07, 2018 15:30Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametangaza kuwa hatagombea urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020, licha ya katiba mpya aliyoiidhinisha hii leo kumpa kibali cha kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
-
Bunge la Iraq lataka zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi lirudiwe tena
Jun 07, 2018 03:17Bunge la Iraq limeamua katika kikao cha dharura kilichofanyika hapo jana kuwa kura zote zilizopigwa katika uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni zihesabiwe tena kwa mkono.
-
Shirika la ujasusi la Marekani (CIA) limeingilia chaguzi 81 duniani
Jun 06, 2018 14:31Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, James Clapper amekiri kwamba shirika hilo limehusika na uingiliaji wa chaguzi 81 kote duniani.