Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wakimbizi wa ndani 60 wakiwemo watoto 33 wafa njaa DRC

    Wakimbizi wa ndani 60 wakiwemo watoto 33 wafa njaa DRC

    Sep 23, 2023 04:13

    Wakimbizi wa ndani zaidi ya 60 wakiwemo watoto wadogo 33 wamepoteza maisha kutokana na njaa katika mkoa wa Kwilu, katikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Netanyahu: DRC itahamishia ubalozi wake Quds kutoka Tel Aviv

    Netanyahu: DRC itahamishia ubalozi wake Quds kutoka Tel Aviv

    Sep 23, 2023 00:35

    Waziri wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo karibuni itauhamishia ubalozi wake mjini Quds (Jerusalem) kutoka Tel Aviv.

  • Kikosi cha EAC nchini Kongo DR chaongezwa muda wa kuhudumu

    Kikosi cha EAC nchini Kongo DR chaongezwa muda wa kuhudumu

    Sep 06, 2023 07:04

    Jumuiya ya Afrika Mashariki imekiongeza muda wa kuhudumu kikosi cha kikanda cha jumuiya hiyo (EACRF), chenye jukumu la kukomesha mapigano na kuzima uasi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

  • Human Rights Watch yalaani mauaji ya jeshi dhidi ya makumi ya raia Congo DR

    Human Rights Watch yalaani mauaji ya jeshi dhidi ya makumi ya raia Congo DR

    Sep 01, 2023 07:55

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limelikosoa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuua makumi ya raia waliokuwa wakiandamana dhidi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa.

  • 12 wauawa katika vita vya kugombania ardhi Kongo DR

    12 wauawa katika vita vya kugombania ardhi Kongo DR

    Aug 24, 2023 03:54

    Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano baina ya jamii mbili zinazozozania kipande cha ardhi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Jeshi: Waasi 500 wa ADF tangu kuanza 'Operesheni ya Shujaa'

    Jeshi: Waasi 500 wa ADF tangu kuanza 'Operesheni ya Shujaa'

    Aug 19, 2023 00:23

    Mamia ya waasi wa kundi linalojiita Allied Democratic Forces (ADF) wameuawa tangu vikosi vya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vianzishe Operesheni ya Shujaa dhidi ya genge hilo mashariki ya Kongo.

  • Waasi wa ADF wameua watu 55 DRC ndani ya wiki 2

    Waasi wa ADF wameua watu 55 DRC ndani ya wiki 2

    Aug 15, 2023 04:10

    Waasi wa kundi linalojiita Allied Democratic Forces (ADF) wamewaua makumi ya wanavijiji huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi cha wiki mbili zilizopita.

  • Ijumaa, Juni 30, 2023

    Ijumaa, Juni 30, 2023

    Jun 29, 2023 23:58

    Leo ni Ijumaa tarehe 11 Mfunguo Tatu Dhulhija 1444 Hijria, sawa na tarehe 30 Juni 2023 Milaadia.

  • Afisa wa UN: Watu 600 wameuawa DRC ndani ya miezi 3

    Afisa wa UN: Watu 600 wameuawa DRC ndani ya miezi 3

    Jun 27, 2023 03:26

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa barani Afrika amesema kwa akali watu 600 wameuawa katika mashambulizi ya magenge yanayobeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

  • Raia karibu 3,000 wameuawa mashariki mwa DRC 2023

    Raia karibu 3,000 wameuawa mashariki mwa DRC 2023

    Jun 23, 2023 06:24

    Watu karibu 3,000 wameuawa huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS