Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Kinara wa upinzani DRC atishia kususia uchaguzi wa rais wa Disemba

    Kinara wa upinzani DRC atishia kususia uchaguzi wa rais wa Disemba

    Jun 21, 2023 00:14

    Martin Fayulu, kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametishia kuwa huenda asishiriki uchaguzi mkuu ujao, huku mvutano wa kisiasa ukiongezeka nchini humo kabla ya uchaguzi wa rais wa Disemba 20, ambapo Rais Felix Tshisekedi anatarajiwa kugombea muhula wa pili.

  • Mahakama ya ICC kuchunguza jinai za kivita mashariki ya DRC

    Mahakama ya ICC kuchunguza jinai za kivita mashariki ya DRC

    Jun 16, 2023 04:01

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imesema itachunguza madai ya kufanyika uhalifu wa kivita huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu zaidi ya 40 wameuawa katika shambulio katika kambi ya IDP,  Ituri Kongo

    Watu zaidi ya 40 wameuawa katika shambulio katika kambi ya IDP, Ituri Kongo

    Jun 13, 2023 01:02

    Watu zaidi ya 40 wameuawa katika shambulizi lililofanywa katika kambi inayowahifadhi raia wa Kongo wakimbizi wa ndani huko kaskazini mashariki nchi hiyo.

  • DRC: Jeshi la Sudan limeua raia wetu 10 mjini Khartoum

    DRC: Jeshi la Sudan limeua raia wetu 10 mjini Khartoum

    Jun 06, 2023 03:02

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema raia kumi wa nchi hiyo wameuawa katika mashambulizi ya Jeshi la Sudan ndani ya Chuo Kikuu kimoja mjini Khartoum, huku mapigano yakishtadi nchini Sudan kati ya jeshi na wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).

  • Mhandisi, walinzi wa mbunga ya Virunga wauawa katika shambulio la waasi DRC

    Mhandisi, walinzi wa mbunga ya Virunga wauawa katika shambulio la waasi DRC

    May 19, 2023 05:01

    Mhandisi na walinzi watatu wa hifadhi ya wanyama pori ya Virunga wameuawa katika shambulio la kuvizia lililofanywa na watu wenye silaha dhidi ya msafara wao karibu na Mbuga ya Kitaifa ya Virunga Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu 11 wauawa katika hujuma ya wanamgambo magharibi mwa Kongo

    Watu 11 wauawa katika hujuma ya wanamgambo magharibi mwa Kongo

    May 14, 2023 03:24

    Watu wasiopungua 11 wameuawa katika hujuma ya wanamgambo wenye silaha magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Haya ni kwa mujibu wa maafisa wa Kongo.

  • Visa 48 vya ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia vinaripotiwa kila siku huko Goma, Kongo

    Visa 48 vya ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia vinaripotiwa kila siku huko Goma, Kongo

    May 10, 2023 08:42

    Taasisi isiyo ya kiserikali ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imeripoti kuwa katika kipindi cha wiki mbili za mwisho za mwezi Aprili mwaka huu zaidi ya waathirika 670 wa vitendo vya ubakaji walipatiwa huduma za matibabu huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Rais wa DRC akishutumu kikosi cha EAC, asema kimekuwa

    Rais wa DRC akishutumu kikosi cha EAC, asema kimekuwa "kikiishi pamoja" na waasi wa nchi hiyo

    May 09, 2023 23:50

    Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekishutumu kikosi cha wanajeshi waliopelekwa na mataifa ya Afrika Mashariki kurejesha hali ya utulivu katika eneo lenye mzozo la mashariki mwa nchi hiyo na kudokeza kwamba wanajeshi hao wanaweza kuondoka mwishoni mwa mwezi Juni.

  • Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC

    Iran yatuma salamu za rambirambi baada ya karibu watu 400 kufa kwa mafuriko DRC

    May 07, 2023 23:53

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi na mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya watu karibu 400 kufariki dunia kwa janga la mafuriko.

  • DRC inataka kutumia mfumo wa malipo wa Russia badala ya Mastercard

    DRC inataka kutumia mfumo wa malipo wa Russia badala ya Mastercard

    Apr 27, 2023 07:20

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inatafakari kuanza kutumia mfumo wa malipo wa kadi ya Mir ya Russia badala za kadi za Kimagharibi za Visa na MasterCard. Hayo yamesemwa na Muhindo Nzangi Butondo Waziri wa Elimu ya Juu na Vyuo Vikuu wa DRC, katika mahojiano na Sputnik.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS