-
Viwavi jeshi vyavamia mashamba ya mahindi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Sep 27, 2022 01:07Wakulima wa zao la mahindi wanalia katika eneo la Nyiragongo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya viwavi jeshi kuvamia mashamba yao.
-
Hali ya mchafukoge yashuhudiwa Congo DR kutokana na uhaba wa mafuta
Sep 09, 2022 05:45Wizara ya Nishati ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, uhaba wa mafuta umezusha hali ya mchafukoge na ukosefu wa nidhamu katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
-
Mripuko wa kipindupindu waua makumi ya watu Kongo DR
Sep 01, 2022 03:04Mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu umepelekea watu wasiopungua 48 kupoteza maisha katika mkoa wa Sankuru, katikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Magaidi wa ADF waua wanavijiji 40 mashariki ya DRC
Aug 31, 2022 02:57Raia wasiopungua 40 wameuawa katika wimbi la mashambulzi yaliyofanywa na kundi moja la kigaidi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
DRC yafanya kampeni ya chanjo baada ya Ebola kuripotiwa Beni
Aug 25, 2022 07:34Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Alkhamisi imezindua kampeni ya kutoa chanjo katika mji Beni, mashariki mwa nchi, baada ya kesi ya virusi hivyo kuthibitishwa katika mji huo.
-
Burundi yatuma wanajeshi DRC kufuatia uamuzi wa EAC
Aug 17, 2022 07:43Burundi imekuwa nchi ya kwanza kutuma wanajeshi wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia uamuzi wa karibuni hivi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa kutuma kikosi cha pamoja cha kieneo katika nchi hiyo ili kwenda kupambana na magenge ya waasi na wanamgambo.
-
Watu 8 wauawa, wafungwa 800 watoroka jela DRC
Aug 11, 2022 03:13Watu wanane wakiwemo askari polisi wawili na raia mmoja wameuawa katika shambulio la kigaidi la wapiganaji wa ADF kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Magaidi wavamia vijiji na kuua watu 20 mashariki ya DRC
Aug 08, 2022 02:50Makumi ya watu wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na genge moja la kigaidi huko mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Upinzani DRC wakosoa vikali mikakati ya Rais Tshisekedi ya kukabiliana na Rwanda
Aug 06, 2022 22:29Wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemlaumu vikali Rais Felix Tshisekedi na mikakati yake ya kuamiliana na Rwanda kufuatia ripoti iliyotolewa hivi karibuni na wataalamu wa Umoja wa Mataifa inayoeleza kwamba serikali ya Kigali imekuwa ikilisaidia na kuliunga mkono kundi la waasi wa M23 linalopigana na serikali ya Kinshasa.
-
UN yasikitishwa na hatua ya DRC kumtimua msemaji wa MONUSCO
Aug 04, 2022 20:44Umoja wa Mataifa umekosoa vikali hatua ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kumfukuza nchini humo msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa MONUSCO.