Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • EAC yataka waasi wa M23 waondoke mara moja mashariki mwa DRC

    EAC yataka waasi wa M23 waondoke mara moja mashariki mwa DRC

    Jun 21, 2022 03:32

    Jumuiya ya Afrika Mashariki imelitaka kundi la waasi la M23 liondoke mara moja katika mji wa Bunagana unaodhibitiwa na wanamgambo hao, huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Ubelgiji yakabidhi jino la shujaa wa uhuru wa Congo, Lumumba, kwa familia yake

    Ubelgiji yakabidhi jino la shujaa wa uhuru wa Congo, Lumumba, kwa familia yake

    Jun 20, 2022 09:16

    Serikali ya Ubelgiji leo imekabidhi jino la kinara wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, kwa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika Brussels.

  • DRC yafunga mpaka na Rwanda baada ya askari wake kuuawa

    DRC yafunga mpaka na Rwanda baada ya askari wake kuuawa

    Jun 18, 2022 07:57

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kufunga mpaka wake na Rwanda baada ya askari wa jeshi la DRC kuuawa kwa kupigwa risasi wakati jeshi hilo lilipowashambulia askari wanaolinda mpaka ndani ya ardhi ya Rwanda.

  • DRC yaituhumu Rwanda kuwa imetuma mamia ya askari nchini humo

    DRC yaituhumu Rwanda kuwa imetuma mamia ya askari nchini humo

    Jun 09, 2022 18:51

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limedai kuwa Rwanda imetuma mamia ya askari ndani ya ardhi ya nchi hiyo, huku wasiwasi na taharuki ikiendelea kushuhudiwa kati ya nchi hizo jirani na kutishia uhusiano baina yao.

  • Watu 20 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki ya DRC

    Watu 20 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki ya DRC

    Jun 07, 2022 03:38

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu zaidi ya elfu 15 wameuawa mashariki mwa DRC tangu mwaka 2007

    Watu zaidi ya elfu 15 wameuawa mashariki mwa DRC tangu mwaka 2007

    May 25, 2022 06:17

    Raia zaidi ya 15,000 wameuawa kwa sababu ya vita kwa kipindi cha miaka 15 iliyopita, Wilayani Beni, jimbon Kivu Kaskazini pamoja na Irumu na Mambasa, mkoani Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu 60 wameuawa kaskazini mwa DRC ndani ya wiki moja

    Watu 60 wameuawa kaskazini mwa DRC ndani ya wiki moja

    Apr 12, 2022 06:37

    Watu wasiopungua 60 wameuawa katika mashambulizi ya magenge ya wabeba silaha kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Waasi wa M23 watangaza kuondoka katika vijiji vya Mashariki mwa Kongo

    Waasi wa M23 watangaza kuondoka katika vijiji vya Mashariki mwa Kongo

    Apr 11, 2022 03:05

    Waasi wa harakati ya M23 wametengaza kuondoka katika vijiji walivyoviteka wiki iliyopita huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mapigano kati yao na vikosi vya serikali mkoani Rutshuru.

  • Kongo DR: Waasi wa M23 wameitungua helikopta ya MONUSCO

    Kongo DR: Waasi wa M23 wameitungua helikopta ya MONUSCO

    Mar 30, 2022 06:26

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) limetangaza kuwa, helikopta ya Umoja wa Mataifa iliyokuwa na askari jeshi wa kulinda amani wanane ilitunguliwa jana ikiwa katika shughuli ya kutathmini harakati za raia huko Kivu Kusini.

  • Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yajiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yajiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Mar 29, 2022 08:38

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Machi 29 imekubaliwa rasmi kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kufuatia mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS