Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Waasi 27 wa ADF wauawa katika operesheni ya askari wa DRC

    Waasi 27 wa ADF wauawa katika operesheni ya askari wa DRC

    Mar 26, 2022 09:08

    Askari wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FARDC) wamefanikiwa kuwaangamiza makumi ya wanamgamo wa kundi la ADF kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Watu 27 wauawa katika shambulio la waasi wa ADF nchini DRC

    Watu 27 wauawa katika shambulio la waasi wa ADF nchini DRC

    Mar 13, 2022 04:24

    Watu wasiopungua 27 wameuawa huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika shambulio jipya la wanamgambo wa Uganda wa ADF.

  • Watu 60 waaga dunia katika ajali ya treni Kongo DR

    Watu 60 waaga dunia katika ajali ya treni Kongo DR

    Mar 12, 2022 23:55

    Kwa akali watu 60 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya treni iliyotokea katika mkoa wa Lualaba, kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Treni hiyo ilikuwa ikitokea mji wa Mueneditu ikielekea Lubumbashi.

  • Watu 20 wauawa baada ya boti kuteketea mtoni Kongo DR

    Watu 20 wauawa baada ya boti kuteketea mtoni Kongo DR

    Feb 28, 2022 04:02

    Kwa akali watu 20 wamepoteza maisha baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuteketea kwa moto katika bandari moja iliyoko viungani mwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.

  • UN yashtushwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya wakimbizi wa ndani Kongo DR

    UN yashtushwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya wakimbizi wa ndani Kongo DR

    Feb 21, 2022 03:51

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR na washirika wake wameeleza kushtushwa na ripoti za mashambulizi manane makubwa yaliyotokea katika siku 10 za mwanzo wa mwezi huu katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu 15 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC

    Watu 15 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC

    Feb 15, 2022 23:11

    Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulio la kundi moja la wabeba silaha katika mkoa wa Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF

    Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF

    Feb 08, 2022 04:16

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuwatia mbaroni raia watatu wa Tanzania, kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la wanamgambo wa ADF.

  • Watu 60 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC

    Watu 60 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC

    Feb 02, 2022 22:58

    Kwa akali watu 60 wameuawa katika shambulio la kundi moja la wabeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mahakama DRC yawahukumu kifo watu 51 kwa mauaji ya wataalamu wa UN

    Mahakama DRC yawahukumu kifo watu 51 kwa mauaji ya wataalamu wa UN

    Jan 30, 2022 04:43

    Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewahukumu kifo watu 51 kwa kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa yaliyojiri katika mkoa wa Kasai nchini humo mwaka 2017.

  • Askari 20 wa DRC wauawa katika mashambulio ya waasi wa M23

    Askari 20 wa DRC wauawa katika mashambulio ya waasi wa M23

    Jan 27, 2022 00:07

    Askari zaidi ya 20 wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameuawa katika mashambulio mapya ya kundi la waasi la M23 mashariki mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS