Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Kesi ya tatu ya Ebola yathibitishwa DRC huku watu 200 wakifuatiliwa

    Kesi ya tatu ya Ebola yathibitishwa DRC huku watu 200 wakifuatiliwa

    Feb 13, 2021 05:16

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kesi ya tatu ya ugonjwa wa Ebola katika mji wa Butembo jimboni Kivu Kaskazini, eneo ambalo lilikuwa kitovu cha mlipuko wa 10 wa ugonjwa huo uliotangazwa kumalizika mwezi Juni mwaka jana.

  • Waziri Mkuu wa Kongo DR atangaza kujiuzulu na serikali yake

    Waziri Mkuu wa Kongo DR atangaza kujiuzulu na serikali yake

    Jan 30, 2021 04:25

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sylvestre Ilunga Ilunkamba ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo Ijumaa hii, siku moja baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.

  • Katibu Mkuu wa UN alaani vikali mauaji dhidi ya raia nchini DRC

    Katibu Mkuu wa UN alaani vikali mauaji dhidi ya raia nchini DRC

    Jan 07, 2021 08:34

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza kusitishwa uhasama na makundi yote yenye silaha kuweka silaha hizo chini na kujiunga katika mchakato wa amani, baada ya raia zaidi ya 20 kuuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC).

  • Wanamgambo wa ADF waua raia wengine 22 Kongo DR

    Wanamgambo wa ADF waua raia wengine 22 Kongo DR

    Jan 06, 2021 23:07

    Watu wasiopungua 22 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kongo DR yatangaza masharti mapya ya kudhibiti msambao wa corona

    Kongo DR yatangaza masharti mapya ya kudhibiti msambao wa corona

    Dec 17, 2020 01:10

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza maagizo mapya kadhaa ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Covid-19, huku idadi ya kesi za maambukizo ya virusi vya corona ikiongezeka.

  • Bunge DRC lapiga kura ya kumtimua spika aliyekuwa akimuunga mkono Kabila

    Bunge DRC lapiga kura ya kumtimua spika aliyekuwa akimuunga mkono Kabila

    Dec 11, 2020 03:42

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jeanine Mabunda ametimuliwa katika nafasi hiyo.

  • Katibu Mkuu wa UN awatolea mwito viongozi Kongo DR wamalize tofauti zao kwa njia ya mazungumzo

    Katibu Mkuu wa UN awatolea mwito viongozi Kongo DR wamalize tofauti zao kwa njia ya mazungumzo

    Dec 10, 2020 00:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani matukio ya ghasia yaliyofanyika katika siku mbili zilizopita ndani na nje ya jengo la bunge kwenye mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

  • Rais Tshisekedi wa DRC avunja muungano na Kabila

    Rais Tshisekedi wa DRC avunja muungano na Kabila

    Dec 07, 2020 04:31

    Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amevunja muungano ambao umekuwa ukitawala nchi hiyo kwa miezi 16.

  • Kongo DR yatangaza kumalizika janga la Ebola nchini humo

    Kongo DR yatangaza kumalizika janga la Ebola nchini humo

    Nov 18, 2020 08:28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kudhibitiwa mlipuko wa 11 wa ugonjwa wa Ebola nchini humo, ambao umesababisha vifo vya watu 55 tangu mwezi Juni mwaka huu hadi sasa.

  • ADF yaua watu wasiopungua 19 Mashariki mwa Congo DR

    ADF yaua watu wasiopungua 19 Mashariki mwa Congo DR

    Oct 30, 2020 04:50

    Kundi moja la kutetea haki za binadamu limetangaza kuwa watu wasiopungua 19 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS