-
Watu 20 wauawa katika shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi la Uganda
Mar 11, 2020 00:26Kwa akali watu 20 wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini magharibi mwa Uganda, mpakani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Umoja wa Mataifa wakaribisha kusainiwa makubaliano ya amani Kongo DR
Mar 01, 2020 04:30Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepongeza hatua ya kusainiwa makubaliano ya amani baina ya makundi ya waasi na serikali ya DRC.
-
SAUTI, Nzige wavamia mkoa wa Ituri Kongo DR, wakazi wake washikwa na butwaa kwa uharibifu
Feb 27, 2020 12:18Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamepatwa na hali ya wasi wasi mkubwa kufuatia kuvamiwa na kundi kubwa la nzige ambao wanaonekana kushambulia kila mmea wa eneo hilo.
-
SAUTI, Wakazi wa Kinshasa waandamana kuliunga mkono jeshi la Kongo DR, huku wakilitaka liache kuwatesa raia
Feb 23, 2020 12:26Wakazi wa mji wa Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamefanya maandamano makubwa ya kuliunga mkono jeshi la nchi hiyo katika juhudi zake za kukabiliana na wanamgambo wa kigeni na wale wa ndani wanaotekeleza jinai ndani ya ardhi ya taifa hilo.
-
Wanamgambo wa ADF waua raia wengine 15 Kongo DR
Feb 19, 2020 04:39Watu wasiopungua 15 wameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakitekwa nyara katika shambulio linalodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa Uganda wa ADF huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanamgambo waua watu 62 mashariki mwa DRC
Feb 01, 2020 23:13Watu wenye silaha wameripotiwa kuua watu wasiopungua 62 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mlolongo wa mashambulizi yaliyolikumba eneo hilo.
-
30 wauawa Kongo DR katika shambulizi la wanamgambo wa ADF
Jan 30, 2020 23:12Kwa akali watu 30 wameuawa katika shambulizi la wanamgambo wa ADF huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
HRW: Karibu watu 200 wameuawa mashariki mwa Kongo DR
Jan 28, 2020 08:32Karibu raia 200 wameuawa katika mikoa miwili ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika makabiliano baina ya maafisa usalama na magenge ya wanamgambo likiwemo kundi la waasi la ADF la Uganda ndani ya siku 31 za mwezi uliopita wa Disemba 2019.
-
Ripoti ya UN: Mauaji ya kikabila Congo DR ni jinai dhidi ya binadamu na huenda ni mauaji ya kimbari
Jan 11, 2020 23:09Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa mauaji, ubakaji na vitendo vingine vya kikatili vilivyofanywa na makundi hasimu ya kikaumu huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yumkini vikatambuliwa kuwa ni jinai dhidi ya binadamu au hata mauaji ya kimbari.
-
WHO: Ugonjwa wa surua uliua watu 6000 nchini DRC, 2019
Jan 08, 2020 04:27Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, watu 6,000 walipoteza maisha kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa surua (measles) nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwaka uliomalizika 2019.