Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Rais wa Kongo DR na mtangulizi wake waafikiana kuhusu mgao wa nyadhifa za baraza la mawaziri

    Rais wa Kongo DR na mtangulizi wake waafikiana kuhusu mgao wa nyadhifa za baraza la mawaziri

    Jul 27, 2019 09:30

    Waitifaki wa Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wa mtangulizi wake Joseph Kabila wamesema wamefikia makubaliano kuhusu mgao wa nafasi za wizara baina ya kambi hizo mbili za kisiasa.

  • Watu 12 wauawa katika mashambulio ya wanamgambo wa ADF huko DRC

    Watu 12 wauawa katika mashambulio ya wanamgambo wa ADF huko DRC

    Jul 23, 2019 10:00

    Watu 12 wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiwemo watoto wawili kufuatia mashambulio ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la ADF la Uganda.

  • WHO yatangaza Ebola kuwa 'dharura ya kiafya duniani'

    WHO yatangaza Ebola kuwa 'dharura ya kiafya duniani'

    Jul 18, 2019 22:04

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwa ni ''dharura ya kiafya inayohitaji jumuia ya kimataifa kuitazama''.

  • WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda

    WHO: Yumkini ugonjwa hatari wa Ebola umesambaa hadi nchini Rwanda

    Jul 18, 2019 07:31

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mwanamke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeaga dunia mapema mwezi huu kutokana na homa hatari ya Ebola aliingia nchini Rwanda akiwa ameathiriwa na ugonjwa huo na huenda alisambaza virusi hivyo nchini humo kabla ya kuelekea nchini Uganda alikofia.

  • WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya kuenea homa ya Ebola huko Kongo DR

    WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya kuenea homa ya Ebola huko Kongo DR

    Jul 17, 2019 07:58

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa mlipuko wa homa ya Ebola ulioukumba mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huwenda ukawa na athari mbaya sana.

  • UN: Kunahitajika mamilioni ya dola kwa ajili ya kupambana na Ebola, DRC

    UN: Kunahitajika mamilioni ya dola kwa ajili ya kupambana na Ebola, DRC

    Jul 15, 2019 07:02

    Mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mlipuko wa ugonjwa wa Ebola huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huwenda ukaendelea kuwepo kwa kipindi kirefu, kuua idadi zaidi ya watu na kugharibu fedha nyingi iwapo nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa hazitatoa mamia ya mamilioni ya dola kwa sasa kwa ajili ya kupambana na kasi ya ugonjwa huo.

  • Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi DRC yaanza kuzaa matunda + Sauti

    Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi DRC yaanza kuzaa matunda + Sauti

    Jul 13, 2019 11:15

    Mikakati ya Rais Felix Tchisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya kujaribu kuvunja nguvu mirengo ya kisiasa nchini humo inaonekana imeanza kuzaa matunda. Mossi Mwasi na maelezo zaidi…

  • ICC kutoa hukumu dhidi ya 'Terminator' Ntaganda wa DRC leo

    ICC kutoa hukumu dhidi ya 'Terminator' Ntaganda wa DRC leo

    Jul 08, 2019 03:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inatazamiwa kutoa hukumu dhidi ya kiongozi wa zamani wa waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Bosco Ntaganda, ambaye anaandamwa na mashitaka 13 ya jinai za kivita na matano ya uhalifu dhidi ya binadamu katika eneo la Ituri, mashariki mwa DRC.

  • WFP: Mamilioni ya Wakongomani wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    WFP: Mamilioni ya Wakongomani wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Jul 03, 2019 02:59

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanahitajia msaada wa dharura wa chakula katika kipindi cha miezi sita ijayo.

  • Jumapili, tarehe 30 Juni, 2019

    Jumapili, tarehe 30 Juni, 2019

    Jun 29, 2019 23:48

    Leo ni Jumapili tarehe 26 Mfunguo Mosi Shawwal 1440 Hijria, sawa na tarehe 30 Juni 2019 Miladia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS