-
Mwanamke Mualgeria ateuliwa kuwa mkuu wa kikosi cha MONUSCO DRC
Dec 28, 2017 12:56Bi Leila Zerrougui raia wa Algeria ameteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwa, mkuu wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO.
-
Jeshi la Uganda laua waasi zaidi ya 100 wa ADF Kongo DR
Dec 28, 2017 01:11Jeshi la Uganda limetangaza habari ya kuua wanachama wasiopungua 100 wa kundi la waasi wa ADF katika makabiliano makali yaliyojiri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Kongo wawasili Uganda
Dec 27, 2017 23:13Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa kuanzia tarehe 18 mwezi huu hadi hivi sasa zaidi ya wakimbizi 4500 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia Uganda.
-
Makazi ya Rais Kabila wa DRC yateketezwa moto, polisi auawa
Dec 26, 2017 03:56Kundi la waasi wa Mai-Mai la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limevamia na kuteketeza moto nyumba ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
Congo Brazaville yasaini muafaka wa amani na kundi la waasi la 'Ninja'
Dec 24, 2017 04:28Serikali ya Jamhuri ya Congo imesaini makubaliano ya amani na kundi la waasi la 'Ninja' na hivyo kutamatisha mgogoro wa karibu miaka 15 ambao umesababisha makumi ya watu kuuawa na makumi ya maelfu ya wengine kuwa wakimbizi.
-
UN yaimarisha usalama kambi walikouawa walinda amani wa Tanzania huko DRC
Dec 22, 2017 03:49Umoja wa Mataifa umesema kambi ya Semuliki ya Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambayo ilishambuliwa na waasi tarehe 7 mwezi huu na kusababisha vifo vya walinda amani 14 wa Tanzania na wengine 44 kujeruhiwa sasa inaimarishwa.
-
Uganda na DRC kushirikiana katika kupambana na waasi wa ADF
Dec 20, 2017 04:46Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimekubaliana kuimarisha utaratibu wa mawasiliano na kupeana taarifa za kiintelijensia kwa ajili ya kupambana na waasi wa ADF kufuatia mashambulizi yao dhidi ya vikosi vya walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa.
-
Mbunge wa Kivu Kaskazini atahadharisha kuhusu vitisho vya waasi wa ADF-Nalu wa Uganda
Dec 11, 2017 04:38Juvenal Munubo, mwakilishi wa Kivu Kaskazini katika Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametahadharisha kuhusiana na vitisho vya waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wanaoendesha harakati zao mashariki mwa DRC.
-
Tanzania Haitasitisha Oparesheni za Kulinda amani baada ya askari wake 14 kuuawa DRC
Dec 11, 2017 01:47Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuuawa kwa askari wake 14 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hakutaifanya Tanzania iache kuunga mkono shughuli za ulinzi wa amani.
-
Jeshi la DRC laahidi kutoa jibu kali kwa waasi wa ADF baada ya kuua wasimamia amani
Dec 10, 2017 11:01Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limeatangaza kuwa, litatoa jibu kali kwa mauaji yaliyofanywa na waasi wa ADF-NALU wa Uganda dhidi ya askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Mataifa MONUSCO.