Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wasiwasi wa UN kuhusu hali ya wakimbizi wa Congo DR

    Wasiwasi wa UN kuhusu hali ya wakimbizi wa Congo DR

    Dec 09, 2017 16:08

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa, watu karibu milioni 2 wamelazimika kuhama makazi yao mwaka huu pekee huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuhofia ukatili na mauaji.

  • Guterres: Mauaji dhidi ya askari wa UN huko Kongo ni 'jinai ya kivita'

    Guterres: Mauaji dhidi ya askari wa UN huko Kongo ni 'jinai ya kivita'

    Dec 09, 2017 03:45

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya wanajeshi wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO, na kuutaja ukatili huo kama jinai ya kivita.

  • Jean-Pierre Lacroix: Mapigano ya kikabila Sudan Kusini yamechochea hali ngumu

    Jean-Pierre Lacroix: Mapigano ya kikabila Sudan Kusini yamechochea hali ngumu

    Dec 08, 2017 11:01

    Mkuu wa operesheni za kusimamia amani za Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mapigano ya kikabila katika nchi ya Sudan Kusini yamekuwa na nafasi kubwa katika kuifanya hali ya mambo ya nchi hiyo izidi kuwa mbaya.

  •  Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) walaani shambulio la wanamgambo mashariki mwa Kongo

    Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) walaani shambulio la wanamgambo mashariki mwa Kongo

    Dec 06, 2017 22:11

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imelaani shambulio lililofanywa na wanamgambo katika kituo chao kilichopo Masisi mkoani Kivu ya Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Serikali ya Kongo DR yatuhumiwa kutumia waasi wa M23 kukandamiza maandamano ya wananchi

    Serikali ya Kongo DR yatuhumiwa kutumia waasi wa M23 kukandamiza maandamano ya wananchi

    Dec 05, 2017 12:32

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeituhumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa iliwatumia waasi wa kundi la M23 kukandamiza maandamano ya wananchi yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana.

  • Wakimbizi 12,000 kutoka DRC waingia Zambia, UNHCR haina fedha za kuwashguhulikia

    Wakimbizi 12,000 kutoka DRC waingia Zambia, UNHCR haina fedha za kuwashguhulikia

    Dec 04, 2017 04:09

    Zaidi ya wakimbizi 12,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbilia nchi jirani ya Zambia kutafuta hifadhi kutokana na machafuko Kusini Mashariki mwa nchi yao.

  • Maelfu ya familia zakimbia mashariki mwa Congo DR kwa kuhofia usalama wao

    Maelfu ya familia zakimbia mashariki mwa Congo DR kwa kuhofia usalama wao

    Nov 27, 2017 11:34

    Maelfu ya wakazi wa mkoa wa Kivu Kaskazini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbia makazi yao kwa kuhofia mashambulizi yanayofanywa na makundi ya wanamgambo katika eneo hilo.

  • Serikali ya Congo DR yapiga marufuku maandamano ya wapinzani

    Serikali ya Congo DR yapiga marufuku maandamano ya wapinzani

    Nov 27, 2017 04:40

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku maandamano ya kambi ya upinzani yaliyopangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Novemba kumshinikiz Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aondoke madarakani.

  • Congo DR, Burkina Faso zawaita nyumbani mabalozi wao Libya kupinga biashara ya utumwa

    Congo DR, Burkina Faso zawaita nyumbani mabalozi wao Libya kupinga biashara ya utumwa

    Nov 22, 2017 23:58

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burkina Faso ziimewaita nyumbani mabalozi wao nchini Libya kupinga biashara ya utumwa na kuuzwa wahajiri wa Kiafrika nchini humo.

  • Waasi wa Mai-Mai washambulia ngome za jeshi mashariki mwa DRC

    Waasi wa Mai-Mai washambulia ngome za jeshi mashariki mwa DRC

    Nov 21, 2017 10:09

    Msemaji wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mkoa wa Kivu Kusini ulioko mashariki mwa nchi hiyo amesema kuwa, waasi wa Mai-Mai wameshambulia ngome za jeshi katika mji wa Kilembwe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS