-
7 wauawa katika makabiliano baina ya askari na waasi Kongo DR
Nov 06, 2017 23:13Kwa akali watu saba wameuawa katika makabiliano ya risasi kati ya wanajeshi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi moja la waasi, katika mkoa wa Kivu Kusini.
-
Tume ya Uchaguzi DRC yatangaza uchaguzi kufanyika Disemba 2018
Nov 06, 2017 05:43Tume Huru ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (CENI) imetangaza Jumapili kuwa uchaguzi wa rais atakayechukua nafasi ya Rais Joseph kabila utafanyika Disemba 23, mwaka ujao wa 2018.
-
Angola yawatimua maelfu ya wahamiaji haramu wa Kongo DR
Nov 05, 2017 23:16Serikali ya Angola imewafukuza nchini humo maelfu ya wahamiaji haramu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kanali aliyeasi jeshi la DRC ajisalimisha baada ya mapigano
Nov 05, 2017 11:20Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumapili wamepigana na wafuasi wa kanali aliyeasi jeshi katika mji wa Bukavu mashariki mwa nchi hiyo na baada ya hapo kanali huyo akajisalimisha kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa.
-
OCHA: Wakimbizi wa Kongo DR wamekubwa na mgogoro mkubwa wa kibinaadamu
Nov 03, 2017 01:03Msemaji wa Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) ametahadharisha juu ya hali mbaya ya kibinaadamu inayowakabili wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Waandamanaji karibu 30 watiwa mbaroni mashariki mwa Kongo DR
Nov 01, 2017 04:32Duru za polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kuwa watu karibu 30 wametiwa nguvuni katika maandamano dhidi ya serikali katika mji wa Goma makao makuu ya mkoa wa Kivu ya Kaskazini huko mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Watu milioni 3 wanakabiliwa na njaa Kongo DR
Oct 30, 2017 04:32Mpango wa Chakula Duniani WFP umesema watu zaidi ya milioni 3 wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutoka na njaa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
DRC: Tarehe ya uchaguzi inapangwa na tume, sio Marekani
Oct 28, 2017 04:33Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini humo CENI yenye mamlaka na uwezo wa kupanga tarehe ya uchaguzi nchini na wala sio Marekani.
-
Wapinzani nchini Kongo wataka kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa
Oct 23, 2017 10:34Wapizania wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wametangaza kuwa, karibu wafungwa 50 wa kisiasa wa upande wa upinzani, wanaendelea kushikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.
-
Uganda yatiwa wasiwasi na mlipuko wa virusi vya Marburg
Oct 23, 2017 04:39Uganda imekumbwa tena na wasiwasi baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki dunia kwa ugonjwa wa Marburg.