-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu machafuko ya Congo DR
Oct 14, 2017 04:01Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameeleza wasiwasi wake kuhusu ghasia na machafuko ya kisiasa nchini humo.
-
Waasi washambulia kituo cha askari wa Umoja wa Mataifa DRC
Oct 10, 2017 04:42Duru za kuaminika huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimesema kuwa, waasi wa Uganda wameshambulia kituo cha askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa mashariki mwa Kongo.
-
SAUTI, Zaidi ya watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya waasi wa ADF-NALU mjini Beni Kong DR
Oct 09, 2017 13:07Zaidi ya watu 20 wameripotiwa kuuawa na wanamgambo wa kundi la waasi la ADF-NALU wa nchini Uganda huko mjini Beni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu wasiopungua 40 wauawa DRC katika hujuma ya waasi wa ADF
Oct 08, 2017 23:04Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) wameuawa watu zaidi ya 40 katika mji wa Beni jimbo la kaskazini la Kivu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Waasi wateka nyara na kuua makumi ya wasafiri Kongo DR
Oct 08, 2017 10:55Makumi ya wasafiri wanahofiwa kuuawa baada ya kutekwa nyara na kundi moja la waasi kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanamgambo 10 wauawa katika mapigano na jeshi la Kongo DR
Oct 05, 2017 10:33Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuuawa wanamgambo 10 katika mapigano na jeshi la nchi hiyo.
-
Maelfu ya raia wa Congo wakimbilia Zambia kutokana na machafuko
Oct 03, 2017 22:53Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbilia nchi jirani ya Zambia katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita wakikimbia ghasia na machafuko yanayoendelea nchini kwao.
-
Watu 16 wauawa katika mapigano mashariki mwa Kongo DR
Oct 03, 2017 04:42Kwa akali wanachama 16 wa kundi la waasi wa Mai-Mai wameuawa katika mapigano na maafisa usalama, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanaharakati 16 wa kisiasa waachiwa huru Congo DR
Oct 02, 2017 02:58Maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa, wamewaachia huru wanaharakati kadhaa wa kisiasa waliokuwa wametiwa nguvuni na vyombo vya usalama.
-
Watu karibu 30 wahofiwa kuaga dunia katika ajali ya ndege Kongo DR
Sep 30, 2017 13:10Ndege ya usafirishaji inayomilikiwa na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeanguka leo karibu na mji mkuu Kinshasa na kuuwa makumi ya watu. Hayo yameelezwa na duru za kijeshi nchini humo.