Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • DRC yafunga radio iliyokosoa mauaji ya wakimbizi wa Burundi

    DRC yafunga radio iliyokosoa mauaji ya wakimbizi wa Burundi

    Sep 30, 2017 04:43

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesimamisha matangazo ya radio moja inayomilikiwa na Chama cha Wafanyabiashara wa Burundi, kwa kukosoa mauaji ya wakimbizi Warundi waliouawa hivi karibuni na wanajeshi wa DRC.

  • Wakazi wa Bukavu, Kongo DR waandamana kulalamikia ukosefu wa usalama

    Wakazi wa Bukavu, Kongo DR waandamana kulalamikia ukosefu wa usalama

    Sep 25, 2017 11:47

    Wakazi wa mji wa Bukavu, katikati ya mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko yanayoendelea katika mkoa huo.

  • Kambi ya Upinzani Congo yapinga matamshi ya Kabila katika UN

    Kambi ya Upinzani Congo yapinga matamshi ya Kabila katika UN

    Sep 25, 2017 03:19

    Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekosoa matamshi yaliyotolewa na Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

  • Thuluthi nzima ya kesi za askari wa UN za kuwabaka wanawake zimeripotiwa DRC

    Thuluthi nzima ya kesi za askari wa UN za kuwabaka wanawake zimeripotiwa DRC

    Sep 24, 2017 10:18

    Ripoti mpya imeonyesha kuwa, thuluthi nzima ya vitendo vya ubakaji na dhulma za kijinsia dhidi ya wanawake vinavyofanywa na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa vimeripotiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Askari wa serikali ya Kongo DR watuhumiwa kuhusika na mauaji ya raia

    Askari wa serikali ya Kongo DR watuhumiwa kuhusika na mauaji ya raia

    Sep 24, 2017 00:01

    Wakimbizi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewatuhumu maafisa usalama wa serikali kuwa wamehusika katika mauaji ya raia.

  • Taasisi ya Haki za Binadamu: Kongo inapasa kutekeleza majukumu yake kuhusu wakimbizi

    Taasisi ya Haki za Binadamu: Kongo inapasa kutekeleza majukumu yake kuhusu wakimbizi

    Sep 22, 2017 12:50

    Mratibu wa Kitaifa wa Taasisi Zisizo za Kiserikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameitaka serikali ya nchi hiyo kutekeleza majukumu yake kuhusu suala la haki za wakimbizi na raia wanaotafuta hifadhi nchini humo.

  • Mafuriko yaua watu 10 Kongo DR, 90 watoweka

    Mafuriko yaua watu 10 Kongo DR, 90 watoweka

    Sep 20, 2017 09:20

    Watu wasiopungua 10 wamepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko mashariki mwa Jamhuri mwa Kidemokrasia ya Kongo.

  • Serikali ya Kongo DR yaanza uchunguzi kuhusu mauaji ya wakimbizi wa Burundi

    Serikali ya Kongo DR yaanza uchunguzi kuhusu mauaji ya wakimbizi wa Burundi

    Sep 18, 2017 09:39

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa imeanza kuchunguza mauaji ya makumi ya wakimbizi wa Burundi waliouliwa nchini humo.

  • Umoja wa Mataifa walaani jeshi la DRC kwa kuwaua wakimbizi kutoka Burundi

    Umoja wa Mataifa walaani jeshi la DRC kwa kuwaua wakimbizi kutoka Burundi

    Sep 17, 2017 09:32

    Umoja wa Mataifa umelaani vikali mauaji ya wakimbizi wasiopungua 36 kutoka Burundi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Askari wa Kongo washambuliana na wakimbizi wa Burundi, makumi ya wakimbizi wauawa

    Askari wa Kongo washambuliana na wakimbizi wa Burundi, makumi ya wakimbizi wauawa

    Sep 16, 2017 09:26

    Mapigano yamejiri kati ya wakimbizi wa Burundi na askari wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha maafa ya makumi ya wakimbizi na wengine kujeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS