Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Mgogoro nchini Kongo DR unawafanya watoto wengi zaidi walazimike kuacha masomo

    Mgogoro nchini Kongo DR unawafanya watoto wengi zaidi walazimike kuacha masomo

    Sep 12, 2017 03:22

    Asasi moja isiyo ya kiserikali imetangaza kuwa watoto wengi zaidi wanakosa elimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na mgogoro na mfumo duni wa elimu wa nchi hiyo.

  • Indhari ya WHO kuhusu mlipuko wa kipindupindu DRC

    Indhari ya WHO kuhusu mlipuko wa kipindupindu DRC

    Sep 10, 2017 22:49

    Shirika la Afya Duniani WHO limetoa tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ambao hadi sasa umepelekea watu 528 kupoteza maisha na hivyo kufikia kiwango cha kutia hofu.

  • Hizi hapa sababu za kuendelea mgogoro wa kisiasa DRC

    Hizi hapa sababu za kuendelea mgogoro wa kisiasa DRC

    Sep 10, 2017 10:07

    Mtandao wa habari za redio na televisheni za Ubelgiji umesema kuwa, kufariki dunia Étienne Tshisekedi, mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa upinzani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kumezidisha mgogoro wa kisiasa nchini humo.

  • Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini

    Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini

    Sep 10, 2017 03:02

    Serikali ya Tanzania imesema mazungumzo yanaendelea ili nchi hiyo ya Afrika Mashariki ianze kuuza mahindi kwenye Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Sudan Kusini.

  • Wakimbizi wa Kongo DR waendelea kukimbilia nchini Zambia

    Wakimbizi wa Kongo DR waendelea kukimbilia nchini Zambia

    Sep 09, 2017 12:00

    Umoja wa Mataifa umetangaza ongezeko la wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Zambia.

  • Wito wa serikali ya DRC kwa wapinzani wa kushiriki katika mazungumzo

    Wito wa serikali ya DRC kwa wapinzani wa kushiriki katika mazungumzo

    Sep 04, 2017 08:17

    Kufuatia kushadidi mgogoro wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Uchumi wa nchi hiyo amewaita wapinzani wa nchi hiyo katika meza ya mazungumzo ili kujaribu kutatua hitilafu zilizoko kati ya pande mbili hizo.

  • Serikali ya DRC yawaita wapinzani katika meza ya mazungumzo

    Serikali ya DRC yawaita wapinzani katika meza ya mazungumzo

    Sep 03, 2017 23:50

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewaita wapinzani wa nchi hiyo katika meza ya mazungumzo ili kujaribu kutatua hitilafu zilizoko kati ya pande mbili hizo.

  • Tume ya Uchaguzi DRC kutangaza ratiba ya uchaguzi

    Tume ya Uchaguzi DRC kutangaza ratiba ya uchaguzi

    Sep 01, 2017 10:54

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Corneille Nangaa amesema ratiba ya Uchaguzi mkuu itatangazwa hivi karibuni.

  • UN: Watu milioni 3.8 wamefurushwa makwao kutokana na machafuko DRC

    UN: Watu milioni 3.8 wamefurushwa makwao kutokana na machafuko DRC

    Aug 27, 2017 03:06

    Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliolazimika kuwa wakimbizi kutokana na machafuko na mapigano nchini humo imeongezeka maradufu.

  • Wanasiasa Congo DR wamkosoa Zuma kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao

    Wanasiasa Congo DR wamkosoa Zuma kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao

    Aug 26, 2017 10:56

    Wanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepinga na kukosoa matamshi yaliyotolewa na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini wakisema ameingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS