-
Idadi ya waliopoteza maisha katika maporomoko ya udongo DRC imepindukia 200
Aug 19, 2017 02:31Idadi ya watu waliopoteza maisha katika janga la kimaumbile la maporomoko ya udongo katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeongezeka na kupindukia watu 200.
-
Maporomoko ya udongo yaua watu 40 kaskazini mashariki mwa Kongo DR
Aug 17, 2017 10:07Watu 40 wamefariki dunia baada ya maporomoko ya udongo kusomba kijiji kimoja cha uvuvi kwenye fukwe za Ziwa Albert kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Jumanne 15 Agosti, 2017
Aug 14, 2017 21:59Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1438 Hijria sawa na Agosti 15, 2017.
-
Makumi ya watu waaga dunia kwa kipindupindu DRC
Aug 13, 2017 09:13Makumi ya raia wanaripotiwa kufariki dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na maradhi ya kipindupindu yaliyoibuka katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mwili wa Tshisekedi kusafirishwa Kongo DR hivi karibuni
Aug 12, 2017 03:09Mwili wa Mzee Étienne Tshisekedi, aliyekuwa kiongozi wa upinzani wa chama cha The Union for Democracy and Social Progress UPDS huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unatazamiwa kusafirishwa nchini mwezi ujao kutoka Ubelgiji alikofia mwezi Februari mwaka huu.
-
HRW: 27 wauawa katika makabiliano ya polisi na waandamanaji DRC
Aug 11, 2017 02:41Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 27 waliuawa katika makabiliano baina ya maafisa wa polisi na waandamanaji huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu iliyopita.
-
UNICEF: Walimwengu wasipuuze hali mbaya ya watoto wa maeneo ya machafuko Kongo DR
Aug 10, 2017 23:41Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeitaka dunia kutofumbia macho hali mbaya inayozikabili familia hususan watoto wadogo katika mji unaoshuhudia machafuko na mapigano wa Kasai, katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio yaliyojiri Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuanzia mauaji ya wanamgambo na mwito wa wapinzani
Aug 08, 2017 12:32Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitisha mgomo wa nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Wapinzani nchini Kongo DR waitisha mgomo wa nchi nzima dhidi ya serikali
Aug 08, 2017 10:19Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitisha mgomo wa nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Mapigano makubwa ya kikabila yatokea katika mkoa wa Tanganyika DRC
Aug 06, 2017 11:53Msemaji wa Jumuiya ya Kiraia ya mkoa wa Tanganyika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza kuwa, kumetokea mapigano makubwa ya kikabila katika mkoa huo ambayo yamesababisha umwagaji damu mkubwa.