-
Mbabe wa kivita wa DRC akabidhiwa kwa serikali ya Kinshasa
Aug 05, 2017 03:36Mbabe wa kivita Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye amekuwa akisakwa kwa udi na uvumba kutokana na jinai dhidi ya binadamu alizofanya amekabidhiwa na Umoja wa Mataifa kwa vyombo vya dola vya Kinshasa.
-
Watu zaidi ya 100 watiwa mbaroni Kongo
Aug 02, 2017 09:55Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limeripoti kuwa watu zaidi ya mia moja wametiwa mbaroni katika maandamano ya amani yaliyofanyika juzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupinga hatua ya Rais Joseph Kabila ya kusalia madarakani.
-
Chama cha upinzani Congo chatuhumiwa kushiriki katika mashambulizi ya Kinshasa
Jul 31, 2017 22:08Msemaji wa Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, idadi kadhaa ya wajumbe wa chama cha upinzani cha UPDS walikuwa katika kundi la watu waliofanya mashambulizi katika mji mkuu wa nchi hiyo Kinshasa.
-
Jose Maria Aranaz: Kumefanyika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu DRC
Jul 27, 2017 23:18Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa, kumeripotiwa kesi nyingi za ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Baraza la Usalama lataka kufanyika uchaguzi wa Rais Kongo
Jul 27, 2017 03:05Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ichukue hatua ya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa Rais unafanyika nchini humo hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya wanawaka DRC
Jul 26, 2017 22:52Umoja wa Mataifa umesisitiza juu ya udharira wa kukomeshwa vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya wanawake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai
Jul 26, 2017 03:15Umoja wa Mataifa umelituhumu kwa njia isiyo ya moja kwa moja jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa limehusika na mauaji ya umati katika eneo la Kasai.
-
Upinzani DRC waja na mkakati mpya wa kumshinikiza Rais Kabila aondoke madarakani
Jul 24, 2017 00:10Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umetangaza mipango na mikakati yake mipya ya kushinikiza kuondoka madarakani Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo kwa kutumia migomo na uasi wa kiraia.
-
Mamilioni ya fedha za umma za mauzo ya madini zatoweka Congo DR
Jul 23, 2017 02:16Jumuiya ya kimataifa ya Global Witness imetangaza kuwa, asilimia 20 ya mapatano yanayotokana na mauzo ya madini ya almasi, dhahabu na shaba zimetoweka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UN yatahadharisha kuhusu mgogoro wa Congo DR
Jul 22, 2017 22:20Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya misaada ya kibinadamu ametahadharisha kuhusu mgogoro mkubwa unaisumbua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.