-
SAUTI: Polisi ya Kongo DR yavamia Chuo Kikuu Kinshasa ili kuwakamata wanafunzi wanaodaiwa kutorosha wafungwa
Jul 22, 2017 12:30Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamevamia Chuo Kikuu cha Kinshasa kwa lengo la kuwatia mbaroni wanafunzi wa chuo hicho mbao wanatajwa kuwa wahusika wa vurugu jijini hapo.
-
Wafanyakazi wa umma DRC waitisha mgomo kutaka nyongeza ya mishahara
Jul 21, 2017 09:40Wafanyakazi wa sekta ya umma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ijumaa wameitisha mgomo wakitaka serikali iwaongezee mishahara kutokana na ongezeko la gharama za maisha.
-
Rais Kabila wa DRC na familia yake wana utajiri wa mamilioni ya dola
Jul 20, 2017 09:44Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na familia yake wanamiliki hisa katika mashirika 80 nchini humo na maeneo mengine ya dunia na utajiri wake unakadiriwa kuwa makumi ya mamilioni ya dola.
-
Jeshi la Congo latakiwa kukomesha mapigano mashariki mwa nchi
Jul 19, 2017 23:36Viongozi wa eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamelitaka jeshi la nchi hiyo kukomesha mapigano yanayoendelea katika eneo hilo.
-
UN: Kuna uwezekano waasi na vyombo vya usalama viliwaua watumishi wetu
Jul 19, 2017 09:46Kundi moja la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa, kuna uwezekano makundi ya wababe silaha na maafisa wa vyombo vya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walihusika katika mauaji dhidi ya wataalamu wa umoja huo waliokuwa wakichunguza kuhusu makaburi ya umati nchini humo.
-
Eneo muhimu ya Kipese DRC lakombolewa na jeshi kutoka mikoni mwa waasi
Jul 16, 2017 23:52Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa, eneo la kiistratejia la Kipese lililokuwa chini ya udhibiti wa wanamgambo wanaobeba silaha limekombolewa la jeshi la nchi hiyo.
-
Hofu yatanda baada ya maafisa wawili kuuawa katika soko la Kinshasa
Jul 16, 2017 02:21Hofu imetanda katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa baada ya watu wasiojulikana kuvamia soko kuu mjini humo na kuua maafisa wawili wa ngazi za juu.
-
Makaburi mengine 38 ya umati yagunduliwa Congo DR
Jul 12, 2017 22:06Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, umegundua makaburi mengine 38 ya umati katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UNSC yatahadharisha kuakhirishwa uchaguzi wa Rais wa Kongo
Jul 12, 2017 02:53Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewatahadharisha viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu kuakhirisha uchaguzi wa rais wa nchi hiyo na hivyo kuchochea kuendelea machafuko nchini humo.
-
Watu 12 wauawa katika mapigano ya hivi karibuni DRC
Jul 06, 2017 03:12Watu 12 wameripotiwa kuuawa katika mapigano ya hivi karibuni kabisa baina ya waasi na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mkoa wenye machafuko wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi hiyo kubwa na pana ya katikati mwa Afrika.