Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Jeshi la Kongo lakomboa baadhi ya maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo

    Jeshi la Kongo lakomboa baadhi ya maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo

    Jul 04, 2017 10:41

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeyakomboa baadhi ya maeneo ya jimbo la Fizi mkoani Kivu ya Kusini mashariki mwa nchi hiyo kutoka mikononi mwa waasi wa Mai-Mai.

  • SAUTI: Kundi jipya la waasi Kongo DR lavamia kambi ya jeshi Kivu Kusini na kuua, kupora silaha na kuichoma moto

    SAUTI: Kundi jipya la waasi Kongo DR lavamia kambi ya jeshi Kivu Kusini na kuua, kupora silaha na kuichoma moto

    Jul 02, 2017 08:08

    Waasi wapya wa kundi la Muungano wa Taifa kwa ajili ya Kujitegemea (CNPC), nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameshambulia kambi ya jeshi ya mkoa wa Kivu Kusini na kuua askari 12, kupora silaha na kuichoma moto kambi hiyo.

  • Waziri wa Afya: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo haina tena Ebola

    Waziri wa Afya: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo haina tena Ebola

    Jul 02, 2017 00:02

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kumalizika kwa maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola nchini humo.

  • Ijumaa 5 Shawwal 1438 Hijria, sawa na Juni 30, 2017

    Ijumaa 5 Shawwal 1438 Hijria, sawa na Juni 30, 2017

    Jun 29, 2017 21:56

    Ijumaa tarehe 5 Shawwal 1438 Hijria, sawa na 30 Juni 2017.

  • FAO: Kuna wakimbizi milioni mbili katika mikoa ya Tanganyika na Kasaï Kongo DR

    FAO: Kuna wakimbizi milioni mbili katika mikoa ya Tanganyika na Kasaï Kongo DR

    Jun 29, 2017 10:09

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza habari ya kuweko wakimbizi milioni mbili katika mikoa miwili ya Tanganyika, mashariki mwa nchi na Kasaï, katikati mwa taifa hilo.

  • Waasi washambulia maeneo ya jeshi la DRC

    Waasi washambulia maeneo ya jeshi la DRC

    Jun 28, 2017 23:43

    Waasi wanaojiita kwa jina la "Kikosi cha Mapambano ya Wazalendo" wameshambulia maeneo ya jeshi la serikali kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • SAUTI, Makaburi mengine 10 ya halaiki yagunduliwa mkoa wa Kasai Kongo DR, serikali yanyoshewa kidole cha lawama

    SAUTI, Makaburi mengine 10 ya halaiki yagunduliwa mkoa wa Kasai Kongo DR, serikali yanyoshewa kidole cha lawama

    Jun 27, 2017 11:38

    Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pier Numbi ametangaza habari ya kupatikana makaburi mengine 10 ya halaiki katika mkoa wa Kasai nchi humo.

  • Makaburi mengine ya umati yagunduliwa Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Makaburi mengine ya umati yagunduliwa Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Jun 26, 2017 23:25

    Serikali yai Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuwa, imegundua zaidi ya makaburi kumi ya umati katika mkoa wa Kasai, mahali ambapo vikosi vya serikali na makundi ya waasi yametuhumiwa kwa kufanya mauaji dhidi ya raia.

  • UN: Kuna haja ya kufanyika mazungumzo ili kumaliza mapigano Kongo DR

    UN: Kuna haja ya kufanyika mazungumzo ili kumaliza mapigano Kongo DR

    Jun 26, 2017 03:19

    Mshauri wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kuzuia mauaji ya umati, amezitaka pande za mapigano huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufanya mazungumzo ili kukomesha vitendo vya utumiaji mabavu nchini humo.

  • Wabunge wa DRC waitaka serikali kuimarisha usalama nchini mwao

    Wabunge wa DRC waitaka serikali kuimarisha usalama nchini mwao

    Jun 25, 2017 11:00

    Wawakilishi kadhaa wa bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kutoka maeneo tofauti ya nchi hiyo, wametaka kuongezwa hatua za kiusalama ndani ya baadhi ya miji hususan ya mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS