-
Wabunge wa DRC waitaka serikali kuimarisha usalama nchini mwao
Jun 25, 2017 11:00Wawakilishi kadhaa wa bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kutoka maeneo tofauti ya nchi hiyo, wametaka kuongezwa hatua za kiusalama ndani ya baadhi ya miji hususan ya mashariki.
-
Maafisa wa tume ya uchaguzi DRC waliokuwa wametekwa nyara, waachiliwa
Jun 24, 2017 09:55Maafisa watatu wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo waliokuwa wametekwa nyara majuma mawili yaliyopita wameachiliwa huru.
-
Umoja wa Mataifa kutuma wataalamu wa Kimataifa, Kasai, DRC
Jun 24, 2017 02:39Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kutuma wataalamu wa kimataifa katika eneo la Kasai la katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wapiganaji 13 wa kundi la Mai-Mai wauawa na jeshi la DRC
Jun 23, 2017 09:51Wapiganaji kadhaa wa kundi la wanamgambo wa Mai-Mai katika Jamhutri ya Kidemokrasia ya Congo wameuawa kufuatia operesheni ya jeshi la nchi hiyo katika mji wa Bunia.
-
Mapigano makali yaripotiwa mashariki mwa Congo, 16 wauawa
Jun 23, 2017 00:02Mapigano makali yameripotiwa kati ya askari wa jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na makundi ya waasi huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha mauaji ya watu 16.
-
Tuhuma za Umoja wa Mataifa kwa viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jun 21, 2017 23:51Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, amewatuhumu viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa wanayapa silaha baadhi ya makundi ya wanamgambo wa nchi hiyo.
-
Kongo DR yatahadharisha ongezeko la wakimbizi wa Burundi nchini humo
Jun 21, 2017 03:03Mkuu wa Kamisheni ya Taifa ya Kushughulikia wakimbizi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametahadharisha juu ya ongezeko la wakimbizi wa Burundi kuzidi kiwango cha ukubwa wa kambi za kuhifadhi wakimbizi huko mashariki mwa nchi.
-
Le Monde: Watoto, wahanga wakuu wa vita vya ndani Congo DR
Jun 21, 2017 09:34Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kuwa watoto wadogo katika mji wa Kasai huko katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ndiyo wahanga wakuu wa vita katika mji huo.
-
Watu 3300 wameuawa Kasai tangu Oktoba mwaka jana
Jun 20, 2017 09:19Duru za habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetangaza kuwa, zaidi ya watu elfu tatu wameuawa katika mapigano eneo la Kasai nchini humo.
-
Indhari ya viongozi wa Kiafrika kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jun 19, 2017 21:59Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuendelea kutolewa miito ya kuzuia kuchukua mkondo mpana zaidi mgogoro wa nchi hiyo, Kofi Annan Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa na Marais kadhaa wa zamani wa nchi za Afrika wametoa indhari wakieleza kwamba, hali ya nchi hiyo ni mbaya na hivyo wametaka kutumiwa njia za amani kuinasua nchi hiyo na mgogoro huo.