-
Umoja wa Ulaya wasisitiza kuendelea kushirikiana na DRC
Jun 18, 2017 23:03Umoja wa Ulaya umesisitiza kuwa, utaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwamba, vikwazo vya umoja huo dhidi ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo havitaathiri ushirikiano wa pande mbili.
-
Waasi 12 wa Maimai wauawa DRC
Jun 18, 2017 03:23Watu 13 wameuawa katika mapigano yaliyozuka baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kongo DR yaonywa kuhusu hatari ya kuakhirisha uchaguzi
Jun 16, 2017 23:05Marais wastaafu wa nchi kadhaa za Kiafrika wameonya juu ya hatari inayoweza kuikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iwapo itaakhirisha uchaguzi wa rais.
-
Bunge la Ulaya: Uchunguzi ufanyike kuhusu machafuko mkoani Kasai, Kongo
Jun 15, 2017 10:53Bunge la Ulaya limetaka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji na machafuko yanayojiri katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Mlipuko wa polio waripotiwa Kongo DR, mikoa 2 yaathiriwa
Jun 14, 2017 03:40Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya mlipuko wa ugonjwa wa kupooza (polio) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN inahitaji dola milioni 65 kwa ajili ya wakimbizi wa DRC
Jun 13, 2017 23:49Umoja wa Mataifa umesema unahitaji makumi ya mamilioni ya dola kwa ajili ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokimbilia nchi jirani ya Angola.
-
Amnesty International: Uchunguzi ufanyike kuhusu machafuko ya Kongo
Jun 13, 2017 03:05Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza machafuko yaliyoukumba mkoa wa Kasai katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu wasiopungua 11 wauawa huku wafungwa wapatao elfu moja wakitoroka jela Kongo DR
Jun 11, 2017 23:55Watu wasiopungua 11 wameuawa huku wafungwa 930 wakitoroka jela wakati watu wenye silaha wasiojulikana walipovamia jela moja iliyoko kwenye mji wa Beni, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Waaasi wwili wauawa katika mapigano kaskazini mashariki mwa DRC
Jun 10, 2017 11:26Waasi wawili wameuawa katika mapigano yaliyozuka baina yao na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika jimbo la Ituri la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN yaipa DRC siku 2 ichunguze mauaji na jinai eneo la Kasai
Jun 06, 2017 09:06Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameipa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku mbili ionyeshe azma na irada ya kufanya uchunguzi wa kina kuhusu mauaji na jinai za kibinadamu katika eneo la Kasai.