Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Mahakama ya Kongo DR yaanza kuchunguza faili la mauaji ya wataalamu wa UN

    Mahakama ya Kongo DR yaanza kuchunguza faili la mauaji ya wataalamu wa UN

    Jun 06, 2017 03:38

    Mahakama moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeanza kuchunguza faili la mauaji ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa yaliyojiri katika mkoa wa Kasai nchini humo.

  • Rwanda yaendeleza juhudi za kuwarejesha raia wake nchini tangu vita vya 94

    Rwanda yaendeleza juhudi za kuwarejesha raia wake nchini tangu vita vya 94

    Jun 05, 2017 09:42

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, tayari limesharejesha maelfu ya wakimbizi wa Rwanda waliokimbia vita vya mwaka 1994, nchini mwao.

  • Rais wa Kongo DR: Sikuwahi kuahidi uchaguzi, lakini ninaupa umuhimu mkubwa

    Rais wa Kongo DR: Sikuwahi kuahidi uchaguzi, lakini ninaupa umuhimu mkubwa

    Jun 04, 2017 10:38

    Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa, hakuwahi kuahidi chochote kuhusiana na kuandaa mchakato wa kufanyika uchaguzi wa rais mwaka huu nchini.

  • SAUTI, Sutafahamu ya kisiasa yaigubika Kongo DR kufuatia matamshi ya Rais Joseph Kabila kuwa hakuwahi kuahidi uchaguzi

    SAUTI, Sutafahamu ya kisiasa yaigubika Kongo DR kufuatia matamshi ya Rais Joseph Kabila kuwa hakuwahi kuahidi uchaguzi

    Jun 04, 2017 10:30

    Matamshi ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwamba, hakuwahi kuahidi chochote kuhusiana mchakato wa kufanyika uchaguzi wa rais mwaka huu nchini humo, yameibua swintofahamu baina ya wanasiasa.

  • DRC yadhibiti ugonjwa hatari wa Ebola

    DRC yadhibiti ugonjwa hatari wa Ebola

    Jun 03, 2017 02:42

    Wizara ya Afya huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kufanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

  • Human Rights Watch: Viongozi wa Kiafrika wamshinikize Rais Kabila aitishe uchaguzi wa rais

    Human Rights Watch: Viongozi wa Kiafrika wamshinikize Rais Kabila aitishe uchaguzi wa rais

    Jun 02, 2017 03:43

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito kwa viongozi wa nchi za Kiafrika kumshinikiza Rais Joseph Kabila aitishe uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Mripuko wa homa ya ndege waripotiwa Kongo DR

    Mripuko wa homa ya ndege waripotiwa Kongo DR

    May 31, 2017 10:25

    Mripuko wa homa hatari ya ndege imeripotiwa katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • EU yawawekea vikwazo viongozi tisa wa Kongo DR kwa tuhuma za haki za binaadamu

    EU yawawekea vikwazo viongozi tisa wa Kongo DR kwa tuhuma za haki za binaadamu

    May 30, 2017 03:46

    Umoja wa Ulaya umeyaweka majina tisa ya viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa tuhuma za kuhusika na ukiukaji wa haki za binaadamu nchini humo.

  • SAUTI: Waasi wa Ninja nchini Congo-Brazzaville wazidi kuwa tishio, waua askari wengi na kuteka mabasi ya abiria

    SAUTI: Waasi wa Ninja nchini Congo-Brazzaville wazidi kuwa tishio, waua askari wengi na kuteka mabasi ya abiria

    May 27, 2017 10:48

    Kitendo cha Waasi wa Ninja nchini Congo Brazzaville kuteka mabasi mawili ya abiria katika misitu ya nchi hiyo, kimelifanya jeshi kupatwa na wasi wasi na kutuma helikopta za kijeshi kwa lengo la kuwaokoa watu hao.

  • Waziri wa zamani Kongo DR kuchunguzwa kwa kuhusishwa na machafuko ya Kasai

    Waziri wa zamani Kongo DR kuchunguzwa kwa kuhusishwa na machafuko ya Kasai

    May 23, 2017 11:27

    Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema amefungua faili la uchunguzi dhidi ya aliyekuwa waziri wa serikali hiyo Clement Kanku kuhusiana na madai kwamba alihusika na machafuko yaliyoanzishwa na wanamgambo katika eneo la Kasai ambapo mamia ya watu waliuawa na wengine zaidi ya milioni moja kubaki bila ya makaazi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS