Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wasiwasi wa kuongezeka idadi ya wakimbizi DRC, wazidi kuwa mkubwa

    Wasiwasi wa kuongezeka idadi ya wakimbizi DRC, wazidi kuwa mkubwa

    May 21, 2017 03:11

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya maelfu ya watu wamekimbia makazi yao katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kukimbilia kusini mwa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa kunyongwa watu DRC bila kufikishwa mahakamani

    Umoja wa Mataifa wakosoa kunyongwa watu DRC bila kufikishwa mahakamani

    May 19, 2017 23:32

    Umoja wa Mataifa umekosoa ongezeko la vitendo vya kuwanyonga watu bila kuwapandisha mahakamani na ukiukaji wa haki za binaadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • SAUTI: Polisi ya Kinshasa yawabembeleza wakazi wa mji huo kuwataja wafungwa waliotoroka jela kuu, nao uvamizi wa jela wakikithiri

    SAUTI: Polisi ya Kinshasa yawabembeleza wakazi wa mji huo kuwataja wafungwa waliotoroka jela kuu, nao uvamizi wa jela wakikithiri

    May 19, 2017 13:41

    Polisi ya mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewataka wakazi wa mji huo kuisaidia serikali katika kuwataja wafungwa waliotoka jela kuu ya jiji hilo.

  • Jeshi la DRC laangamiza ngome ya wanamgambo wa Mai-Mai

    Jeshi la DRC laangamiza ngome ya wanamgambo wa Mai-Mai

    May 17, 2017 09:19

    Mapigano makali yameripotiwa kutokea baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na wanamgambo wa Mai-Mai katika mkoa wa Kivu Kusini ulioko mashariki mwa nchi hiyo ambapo jeshi limefanikiwa kuangamiza ngome moja ya waasi hao.

  • Wimbi la wakimbizi wa CAR lamiminika nchini DRC

    Wimbi la wakimbizi wa CAR lamiminika nchini DRC

    May 17, 2017 03:03

    Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusiana na wakimbizi ametangaza habari ya kumiminika maelfu ya wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Walioambukizwa Ebola waongezeka DRC, wafika 20

    Walioambukizwa Ebola waongezeka DRC, wafika 20

    May 16, 2017 09:52

    Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC idadi ya visa vinavyoshukiwa kuwa ni Ebola imeongezeka na kufikia 20.

  • Mamia wauawa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Mamia wauawa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    May 16, 2017 03:42

    Mamia ya watu wameripitiwa kuuawa katika mapigano makali baina ya wanamgambo wabeba silaha na askari wa serikali yaliyoibuka kuanzia mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu hadi sasa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • SAUTI: Viongozi wa chama cha UDPS Kongo DR wawekwa kizuizini na polisi siku tatu, kuwazuia kujadili kuurejesha mwili wa Tshisekedi

    SAUTI: Viongozi wa chama cha UDPS Kongo DR wawekwa kizuizini na polisi siku tatu, kuwazuia kujadili kuurejesha mwili wa Tshisekedi

    May 13, 2017 14:07

    Huku mgogoro juu ya suala la kusafirishwa, kuagawa na kuzikwa kwa mwili wa mzee Étienne Tshisekedi kiongozi wa upinzani wa chama cha The Union for Democracy and Social Progress huko Kongo DR, ukiendelea kutokota, jeshi la polisi limewaweka kizuizini kwa siku tatu viongozi wa chama hicho.

  • Watuhumiwa wa mauaji Kongo DR wahukumiwa vifungo jela

    Watuhumiwa wa mauaji Kongo DR wahukumiwa vifungo jela

    May 13, 2017 09:18

    Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa adhabu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya watu sita kwa kuhusika na mauaji na kushirikiana na makundi ya uhalifu, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Ugonjwa wa Ebola waripotiwa DRC, watu watatu wafariki dunia

    Ugonjwa wa Ebola waripotiwa DRC, watu watatu wafariki dunia

    May 13, 2017 02:41

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, ugonjwa wa Ebola umezuka katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwamba, hadi sasa watu watatu wamefariki dunia kwa ugonjwa huo hatari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS