-
SAUTI: Kadhia ya kusafirishwa, kuagwa na hatimaye kuzikwa mwili wa mzee Étienne Tshisekedi wa Kongo DR, bado kitendawili
May 12, 2017 12:36Suala la kusafirishwa, kuagwa na hatimaye kuzikwa mwili wa mzee Étienne Tshisekedi kiongozi wa upinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limeendelea kuwa kitendawili baada ya upande wa serikali na upinzani kushindwa kuafikiana kuhusiana na suala hilo.
-
Rais Kabila atangaza serikali ya mpito, akipuuza chama kikuu cha upinzani
May 09, 2017 23:52Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza serikali mpya ya mpito licha ya makelele ya wapinzani wanaosema amekiuka makubaliano ya pande mbili.
-
Mapigano yaibuka kati ya jeshi la Kongo DR na wanamgambo mkoa wa Ituri
May 09, 2017 09:19Mapigano makali yameripotiwa kujiri kati ya jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wanamgambo, katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Watu 4,600 wanakimbia makazi yao kila siku nchini Kongo DR
May 09, 2017 03:42Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayowakabili raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wakimbizi wengi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati waingia DRC
May 06, 2017 08:39Viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa, idadi kubwa ya wakimbizi kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wameingia nchini humo.
-
Maaskofu DRC wamtaka Kabila aruhusu kurejea nchini Katumbi
May 04, 2017 02:55Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limemuandikia barua Rais Joseph Kabila likimtaka aruhusu kurejea nchini Moise Katumbi, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo.
-
UN yatuma misaada kwa raia wa Kongo DR nchini Angola
Apr 30, 2017 11:33Umoja wa Mataifa umelazimika kutumia usafiri wa ndege kutuma misaada yake ya kibinadamu kwa makumi ya maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Angola.
-
Kashfa mpya ya ngono yakumba kikosi kikosi cha UN nchini DRC
Apr 29, 2017 03:21Msemaji Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) amesema kumejiri vitendo vitano vya kashfa ya ngono miongoni mwa askari wa kikosi hicho mwaka huu wa 2017
-
Wakristo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wana hamu na shauku ya kujifunza Qur'ani
Apr 27, 2017 11:35Haafidh wa Qur'ani tukufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Wakongomani wana hamu na shauku kubwa ya kujifunza Uislamu kiasi kwamba Wakristo wa nchi hiyo wanawapeleka watoto wao madrasa ili wakasomeshwe Qur'ani.
-
Watu 20 wauawa katika mapigano ya kikabila Kasai, DRC
Apr 27, 2017 03:21Watu wasiopungua 20 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea katika eneo la Kasai ya Kati huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.