Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

  • Madai ya kukaririwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kinyume cha ukweli wa mambo

    Madai ya kukaririwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kinyume cha ukweli wa mambo

    Oct 23, 2020 04:19

    Anwar Gargash Waziri Mshauri wa Mambo ya Nje katika Umoja wa Falme za Kiarabu ametuma ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa, Iran inavuruga uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.

  • Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Jul 01, 2020 03:19

    Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain amesema katika mkutano na waandishi wa habari alioufanya kwa pamoja na Brian Hook, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran kwamba eti Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili ikiwemo Bahrain.

  • Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama

    Feb 21, 2020 06:36

    Tarehe 21 Februari inasadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama.

  • Mousavi: Iran itatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya kijinga ya Israel

    Mousavi: Iran itatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya kijinga ya Israel

    Feb 13, 2020 01:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza uvamizi au hatua yoyote ya kijinga dhidi ya maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria na katika eneo, basi utawala huo utapokea jibu kali ambalo litakuwa la majuto."

  • Kilele cha maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Kilele cha maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 10, 2020 05:12

    Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo huu wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.

  • Sababu zinazoifanya ziara ya Amir wa Qatar nchini Iran kuwa na umuhimu mkubwa

    Sababu zinazoifanya ziara ya Amir wa Qatar nchini Iran kuwa na umuhimu mkubwa

    Jan 15, 2020 02:43

    Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Jumapili iliyopita ya tarehe 12 Januari 2020, alifanya ziara rasmi hapa mjini Tehran. Katika ziara hiyo, Sheikh Tamim alionana na viongozi wa ngazi za juu kabisa wa Iran akiwemo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na Rais Hassan Rouhani.

  • Ushirikiano na nchi za Mashariki ya Kati; stratijia ya Iran ya kulinda usalama wa safari za baharini Ghuba ya Uajemi

    Ushirikiano na nchi za Mashariki ya Kati; stratijia ya Iran ya kulinda usalama wa safari za baharini Ghuba ya Uajemi

    Sep 30, 2019 04:07

    Hossein Dehghani, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Sheria na Kimataifa amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC pambizoni mwa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York Marekani kwamba, mizozo ya aina yoyote ni hatari kwa eneo hili zima.

  • Jumatatu, Aprili 1, 2019

    Jumatatu, Aprili 1, 2019

    Mar 31, 2019 22:20

    Leo ni Jumatatu tarehe 25 Rajab 1440 Hijria sawa na tarehe Mosi Aprili 2019 Milaadia.

  • Vijana, Walinzi Imara na wa Daima wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Vijana, Walinzi Imara na wa Daima wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 03, 2019 08:11

    Ujana ni kipindi kinachong'aa cha maisha ya mwanadamu ambacho japokuwa si kirefu lakini athari zake zinabakia muda mrefu na huwa na taahira kubwa katika maisha ya kiumbe huyo.

  • Ziyad al-Nakhalah: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nchi pekee inayoiunga mkono Palestina

    Ziyad al-Nakhalah: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nchi pekee inayoiunga mkono Palestina

    Jan 31, 2019 04:18

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nchi pekee inayoiunga mkono Palestina na imekuwa ikilipa gharama ya uungaji mkono huo kwa kutwishwa vikwazo vya Marekani na mataifa mengine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS