Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

  • Brigedia Jenerali Jazayeri: Haki za binadamu za Kimarekani zinatambulisha ujahili wa kisasa

    Brigedia Jenerali Jazayeri: Haki za binadamu za Kimarekani zinatambulisha ujahili wa kisasa

    Jul 03, 2016 08:54

    Naibu Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, haki za binadamu za Kimarekani zinatambulisha ujahili wa kisasa na ambao unachukiwa na fikra za waliowengi ulimwenguni.

  • Marasimu ya kukumbuka kufariki dunia Imam Khomeini (MA) yafanyika katika nchi mbalimbali

    Marasimu ya kukumbuka kufariki dunia Imam Khomeini (MA) yafanyika katika nchi mbalimbali

    Jun 04, 2016 09:17

    Marasimu ya mwaka wa 27 wa kukumbuka kufariki dunia Imam Khomeini (MA) mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifanyika jana usiku katika nchi mbalimbali duniani.

  • Mamilioni ya wafanyaziara wa ndani na nje ya nchi kushiriki kwenye Hauli ya Imam Khomeini (ra)

    Mamilioni ya wafanyaziara wa ndani na nje ya nchi kushiriki kwenye Hauli ya Imam Khomeini (ra)

    Jun 02, 2016 03:24

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ismail Najar, amesema wafanyaziara milioni moja na laki saba na nusu wa ndani na kutoka nje ya nchi watashiriki kwenye Hauli ya Imam Khomeini (ra) itakayofanyika hapo kesho.

  •  Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amjibu Adel al Jubeir

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amjibu Adel al Jubeir

    May 27, 2016 10:20

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani matamshi ya kuivunjia heshima Iran yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia.

  • Ayatullah Kermani: Vitisho haviwezi kuifanya Iran isalimu amri mbele ya matakwa ya Marekani

    Ayatullah Kermani: Vitisho haviwezi kuifanya Iran isalimu amri mbele ya matakwa ya Marekani

    May 13, 2016 11:45

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, vitisho vya Marekani haviwezi kuifanya Iran isalimu amri mbele ya matakwa ya kutotosheka ya Washington

  • Rais Rouhani: Utawala wa wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Rais Rouhani: Utawala wa wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Apr 28, 2016 23:37

    Rais Hassan Rouhani amesema utawala unaotokana na ridhaa ya wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Mazungumzo ya Rais Rouhani na Waziri wa Mambo ya Nje wa India

    Mazungumzo ya Rais Rouhani na Waziri wa Mambo ya Nje wa India

    Apr 17, 2016 23:49

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na India ni kwa maslahi ya usalama na ustawi wa kiuchumi wa eneo.

  • 'Jeshi la Iran liko imara kuilinda Jamhuri ya Kiislamu'

    'Jeshi la Iran liko imara kuilinda Jamhuri ya Kiislamu'

    Apr 15, 2016 23:43

    Luteni Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema kuwa, jeshi hilo liko imara katika kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Hamu ya Austria ya kupanua uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Hamu ya Austria ya kupanua uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Mar 29, 2016 23:39

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano ya kesho tarehe 30 Machi anatarajiwa kuelea Vienna Austria kujibu mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Heinz Fischer.

  • Kiongozi Muadhamu: Vita vya Mashariki ya Kati ni vya kisiasa tu

    Kiongozi Muadhamu: Vita vya Mashariki ya Kati ni vya kisiasa tu

    Mar 10, 2016 13:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wananchi wa Iran wameonesha kivitendo imani yao kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi uliofanyika nchini hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS