-
Bunge la Libya: Jamii ya kimataifa ivunje ukimya wake wa kufedhehesha kuhusu Gaza
Jul 26, 2025 02:27Katika taarifa yake ya jana Ijumaa, Bunge la Libya limeitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua haraka na madhubuti dhidi ya sera ya njaa inayotekelewa na Israel dhidi ya wanawake na watoto madhulumu wa Palestina huko Gaza.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Ghaza; makabiliano ya Marekani na Jamii ya Kimataifa
Aug 14, 2024 11:15Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa cha kujadili shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Skuli ya Al-Tabeen katika Ukanda wa Ghaza kilifanyika siku ya Jumanne ambapo akthari ya wanachama wa Baraza hilo walilaani jinai ya utawala huo na kusisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa vita mara moja huko Ghaza.
-
HAMAS yaitaka jamii ya kimataifa kuwasaidia watu wa Gaza
Jun 19, 2024 03:21Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa mwito wa kupitishwa maamuzi ya dharura na jamii ya kimataifa ya kusimamisha jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kuwasaidia wananchi wa ukanda huo wanaokabiliwa na masaibu mengi.
-
Arab League: Jamii ya Kimataifa ikomeshe ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel
Mar 31, 2023 07:43Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitaka Jamii ya kimataifa ichukue hatua za dhati kukomesha ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Dec 20, 2022 02:35Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Michel Aoun: Jamii ya Kimataifa itekeleze ahadi zake kuhusu wakimbizi wa Syria
Dec 14, 2021 02:42Rais Michel Aoun wa Lebanon ameitaka Jamii ya Kimataifa itekeleze ahadi zake kuhusu kurahisisha njia za kurejea nchini kwao wakimbizi wa Syria walioko Lebanon.
-
Hamas: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za kuokoa mateka wa Kipalestina katika jela za Israel
Sep 07, 2020 06:36Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaka jamii ya kimataifa na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu dunia kuchukua hatua za maana za kuokoa maisha ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel ambao wanakabiliwa na hatari ya maambukizi ya virusi vya corona.
-
UN yawataka Wazayuni waache kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina
Oct 24, 2019 06:17Ripota wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa isiendelee kukaa kimya bali iuchukulie hatua utawala dhalimu wa Israel na kuulazimisha uache kuzikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Ripota Maalumu wa UN: Jamii ya Kimataifa ikate uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Jul 11, 2019 12:25Ripota na Mkaguzi wa Umoja wa Mataifa ametaka Jamii ya Kimataifa, Umoja wa Ulaya na madola mengine makubwa duniani yakate uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa dhamira ya kuunga mkono matakwa ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Kansela wa Ujerumani asisitizia ulazima wa kuacha kuiuzia silaha Libya
Jul 11, 2019 04:01Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesisitiza kupatikana njia ya kidiplomasia kwa ajili ya kuutatua mgogoro wa Libya na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuacha kuiuzia silaha nchi hiyo.