Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jamii ya kimataifa

  • Barua ya Zarif kwa walimwengu; uzushi wa Marekani ni hatari kubwa

    Barua ya Zarif kwa walimwengu; uzushi wa Marekani ni hatari kubwa

    Apr 18, 2019 12:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali zote za dunia kuchukua msimamo wa kimsingi, imara na unaozingatia sherika katika kukabiliana na hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.

  • Udharura wa dunia kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Palestina

    Udharura wa dunia kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Palestina

    Jun 20, 2018 13:36

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, imesisitiza kuwa, jukumu la kutetea haki zote za kisiasa na kifedha za wakimbizi Wapalestina ni la jamii ya kimataifa na hasa Umoja wa Mataifa.

  • UN yataka kuongezwa misaada ya kibinadamu nchini Sudan

    UN yataka kuongezwa misaada ya kibinadamu nchini Sudan

    May 16, 2018 13:40

    Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kuongeza misaada ya kibinadamu kwa Sudan kutokana na hali ya kimaisha kuzidi kuwa mbaya nchini humo.

  • Palestina yataka jamii ya kimataifa ichukue hatua imara kukabiliana na kura ya turufu ya Marekani

    Palestina yataka jamii ya kimataifa ichukue hatua imara kukabiliana na kura ya turufu ya Marekani

    Apr 08, 2018 13:55

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetoa taarifa na kuitaka jamii ya kimatiafa itafute mbinu mpya ya kukabiliana na namna Marekani inavyotumia vibaya kura yake ya turufu au veto katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mtaifa kwa ajili ya kuutetea utawala wa Kizyauni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.

  • Juhudi za Marekani za kuvuruga usalama wa Syria

    Juhudi za Marekani za kuvuruga usalama wa Syria

    Feb 06, 2018 08:00

    Mwandishi na mtaalamu mmoja wa masuala ya kisasa wa nchini Marekani amesema kuwa nchi hiyo inafanya juhudi kubwa za kuuhadaa ulimwengu kuhusiana na suala la Syria.

  • Umoja wa Mataifa waitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani CAR

    Umoja wa Mataifa waitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani CAR

    Oct 27, 2017 15:27

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani na utulivu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Zarif: Jamii ya Kimataifa haijali mchezo wa kuigiza wa Marekani dhidi ya Iran

    Zarif: Jamii ya Kimataifa haijali mchezo wa kuigiza wa Marekani dhidi ya Iran

    Jul 19, 2017 08:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiilslamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa itaendelea kushirikiana na Iran bila ya kujali mchezo wa kuigiza wa vikwazo vya Marekani.

  • Rais wa Puntland ataka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia kupambana na al-Shabab

    Rais wa Puntland ataka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia kupambana na al-Shabab

    Jun 11, 2017 13:50

    Rais wa eneo lililojitangazia uhuru la Puntland la kaskazini mashariki mwa Somalia ameitaka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia katika kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab.

  • Zarif: Ufahamu wa pamoja wa jamii ya kimataifa ni njia pekee ya kupambana na uchupaji mipaka

    Zarif: Ufahamu wa pamoja wa jamii ya kimataifa ni njia pekee ya kupambana na uchupaji mipaka

    Apr 23, 2017 13:38

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa njia pekee ya kupambana vyema na vikali na ugaidi na vitendo vya uchupaji mipaka ni kwa jamii ya kimataifa kuwa na ufahamu wa pamoja na hivyo kuweza kulipatia ufumbuzi tatizo hilo kubwa.

  • Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain

    Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain

    Jan 04, 2017 03:57

    Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya mzingiro dhidi ya eneo la Diraz na ukandamizaji wanaofanyiwa wakazi wa eneo hilo kwa zaidi ya nusu mwaka sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS